Kwa jinsi alivyosema kuwa hawawezi kuwamaliza Hamas ni tiketi tosha ya Israel kuendelea kukaa gaza kwa kisingizio kuwa Hamas bado wapo....Mark my words....
Hakuna ku-fail hapo lengo ni Israel kurudisha ardhi yao....kumbuka waisrael wameongezeka mno na makazi ya walowezi yanazidi kujengwa huko gaza kwa fujo...
Hakuna ku-fail hapo lengo ni Israel kurudisha ardhi yao....kumbuka waisrael wameongezeka mno na makazi ya walowezi yanazidi kujengwa huko gaza kwa fujo...
Haya mambo sio rahisi hivyo kama unavyodhania huyu aliyesema kwamba wamefail ni top army general huku netanyahu analeta porojo za politics
Na yule gantz aliyojitoa kwenye baraza la vita la israel ni former army chief siyo mwanasiasa kama netanyahu ambaye anashikilia vita kama silaha ili uchaguzi usifanyike na akishindwa ni mahakamani ana kesi nyingi za rushwa zinamsubiri, salama yake ni kuendelea kupigana ndio maana wenzake wanamtosa
Haya leo kuna top mwingine wa ikulu ya marekani kuhusu vita hii karesign na huyu ni wa sita kutoka ikulu ya marekani akiwemo muisrael anaitwa lilly ambae alijitoa kwa kupinga uonevu wa marekani na israel kwa maslahi yao ya kisiasa huku wakitumia jina la israel vibaya
Israel Iron dome yao imeshaonyesha weakness kubwa, drone zinaingia hadi ndani 30km na hezbollah wanafahamu targets zote, ndege zilipo, military bases n.k
Hii vita Netanyahu aiepuke tu, maana itakuwa aibu ya karne.
Wakiristu wa hapa kwetu wwnamin Israeli sio nchi ya kawaid ..lakini nakuhakikishia Israeli hana tena huo uwezo ww kupigana vita nyingien yupo hoi kiuchumi
Wakiristu wa hapa kwetu wwnamin Israeli sio nchi ya kawaid ..lakini nakuhakikishia Israeli hana tena huo uwezo ww kupigana vita nyingien yupo hoi kiuchumi
America na vibaraka wa kiarabu ndio wanaingia vita hio, niaba ya Israel kama vile Ukraine ni Nato ndio wanapigana wanasema Ukraine, lakini yatakuwa majuto ya Israel kama vile ya Ukraine hao wawili kwa kuwa tools ya USA.
America kakimbia Red Sea, kaona Yemen wana silaha balaa, angalia hi ndio Imemkimbiza America hapo Red Sea
Baada ya mapigano ya mwaka 2006, UN walikuja na mkataba wa kusitisha mapigano hayo ambaayo yalikubaliwa na Israel upande mmoja huku upsnde mwinginne yakikubaliwa na Serikali ya Lebanon na Hezbollah.
UNIFIL na UNTSO wakawekwa pale mpakani mwa Lebanon na Israel (blue line) but still Hezbollah wamekuwa wakifanya mashambulizi upsnde wa Israel na wakkati meingine wakivuka kwenda kushambulia upande wa Israel, lakni si UN wala nani waliowahi kusikika wakiongea lolote lile.
Mwaka 2018 ikabainika Hezbollah walikuwa wanachumba tunnels kuvuka blue-lune kwenda Israel. Report kali sana iliandika na ipo kwenye archives za UN but hakuna aliyesema kitu
Confirming the existence of tunnels dug under the “Blue Line” separating Lebanon and Israel, the head of United Nations peacekeeping told the Security Council today that they represent a violation of Council resolution 1701 (2006).
press.un.org
Sasa hivi baada ya Istael kutoa tamko kwamba inakwenda kwenye full scale war, ndipo Katibi Mkuu wa UN anaanza kubweka kwamba haiwezekana Lebanon ikageuzwa Gaza nyingine. Anaongea hayo wakati pamoja na kuwepo ripoti za violation ya truce inayofanwa na Hezbollah lakini kamwe UN haikuwahi kutoa tamko lolote dhidi ya Hezbollah.
Mashariki ya Kati hakuna nchi yoyote iliyo tayari kupigana vita na Israel na vita vikianza kati ya Israel na magaidi wa Hezbollah Iran atakaa pembeni na akikosea akaingia kwenye vita ndio itakua mwisho wa utawala wa mahayatollah nchini Iran.
Hawana uwezo na nguvu ya kupigana na jeshi kamili , kwanza wameshapoteaba, msemaji wa jeshi keshakiri kwamba wameshindwa kuwamalia hamas na huku netanyahu anahangaika kulalama kunyimwa silaha na marekani
Haya yote gantz alishayasema tangu mwanzo akaamua kumuachia netanyahu uwendawazimu wake sasahivi anatapatapa
Majeshi ya uarabuni kuna watu walisaliti wenzao ambao ni morocco ,so kabla ya vita resources zao zote ziliharibiwa, muwe mnasoma sio mnashabikia vitu blindly
Nenda kasome report ya vita ya 2006 kati ya israel na hezbollah utapata majibu yako nini kiliwakuta israel hadi wakaenda kuomba ceasefire
As we speak iron dome haina uwezo wa kuzuia silaha za hezbollah na israel analijua hilo ,na juzi hezbollah wametuma video simulator ambayo imewashtua israel na magharibi kuonyesha anaweza kushambulia hadi ndani ya israel, kwa sasa marekani hataki vita maana ana uchaguzi, na inajulikana israel uwezo wake ni mdogo sana ukiacha tu silaha ambazo marekani kazuia makusudi ili israel asichokoze watu hata nguvu kazi ya kutosha hana

Huwezi kumuondoa mtu kwa dakika moja ni mlolongo , ndio maana israel pamoja na marekani wameshindwa si tu kuwaokoa mateka wao ndani ya kieneo kidogo cha gaza ,bali wameshindwa na hawataweza kuwamaliza hamas, hata msemaji wa jeshi la israel general hallevi ametofautiana na netanyahu na kukiri kwamba its impossible kuwamaliza hamas ,kauli ambayo ilimfanya netanyahu kuijibu na kupingana hadharani
Kama una akili unaweza kupata jibu unapoona jeshi linapobishana na serikali maana yake ni nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.