Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

Hapa ndo mwisho wa Israel anaingia mtegoni ! Kule si GAZA manake askari kibao watatoka nchi mbalimbali kwenda isapoti Lebanon ! Niko hapa


Hujui chochote kuhusu Middle East politics, you have 00% on Middle East powers and politics, haya vaa kanzu lako uende kuswali..!!
 
Jinsi unavyofyonzwa hiki ulichoandika ndiyo akili zako zinapoishia.
Wewe wala siyo wa kupoteza muda kuhangaika na wewe, maana hata ukiulizwa hayo unayoyaongea umeyatoa wapi utaenda kuleya screeshots toka kwenye X pages za akina Mwijaku kwamba ndiyo ushahidi wako
 
Unafikiri wote wajinga kama wewe hizo habari zipo wazi zamani, we kwa kuwa jinga lolo ndio unaleta ujinga eti UN ndio kakiri bada ya kusikia Israel ataingia Lebanon 😄

Mwijaku ni bora kuliko wewe hawezi leta ujinga kama wako


 
Hawana uwezo na nguvu ya kupigana na jeshi kamili , kwanza wameshapoteaba, msemaji wa jeshi keshakiri kwamba wameshindwa kuwamalia hamas na huku netanyahu anahangaika kulalama kunyimwa silaha na marekani
Haya yote gantz alishayasema tangu mwanzo akaamua kumuachia netanyahu uwendawazimu wake sasahivi anatapatapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240622-061228_Chrome.jpg
    355 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240622-061251_Chrome.jpg
    354.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240622-050944_Instagram.jpg
    384.4 KB · Views: 1
Ndiyo maana nikakwambia unafyonzwa, sababu taarifa niliyoileta hata kusoma haujaisoma unajikbilia ku comment. Haya ulicholeta kwenye hizi links ni kipi na nilicho comment na kuwekea link pale juu ni kipi? Yaani unapinga kwa kuweka hoja inayothibitisha kuwa unachokipinga ni cha kweli?
 
Hawa Hezbollah walinunua kesi isiyowahusu sasa waingie uwanjani kuicheza ngoma, sio kwenda kujificha hospitalini na mashuleni kama wale wasanii wa Hamas huku wakiwavizia na kuwachinja wasio na silaha kama watanzania wenzetu.
 
We kondoo wacha kukwepa ulicho ongea uliishutumu UN ndio inawafichia siri Hezbullah kwa kudai walisema hakuna tunnels zinazo kwenda Israel, na UN bada ya kusikia Israel watashambulia Lebanon ndio wamekubali kuna Tunnels zinazo kwenda Israel.

Wakati Israel wanajua zipo na Hezbullah walisha sema zipo sa kipi ulicho leta cha mana ambacho UN kasema au UN alikuwa anaficha kwa faida ipi?

Wananchi wa Israel pia walisha lalamika kuwa wanasikia watu wakidrill chini ya majumba yao wakati wamelala


Wacha ujinga wewe
 
Kumbe hata kusoma na kuelewa kitu kikisndikwa kwa sentensi zaidi ya mija kwako ni shida? Tunajadiliana na watu wa ajabu sana humu ndani.
 
Hawa Hezbollah walinunua kesi isiyowahusu sasa waingie uwanjani kuicheza ngoma, sio kwenda kujificha hospitalini na mashuleni kama wale wasanii wa Hamas huku wakiwavizia na kuwachinja wasio na silaha kama watanzania wenzetu.
Hezbullah kushindwa vita na US na Israel ni nyimbo za kanisani.

US atakimbia hapo atamuwacha Israel anapokea kichapo ngoa Mziki wa Hezbullah ukianza ndio utafahamu Israel ni mtoto sana kumshinda Hezbullah.

Israel alikuwa hataki kuingia vita lakini ni US ndio anamwambia Israel aingie vita lakini watakao ishambulia Lebanon ni wao US na wale vibaraka wake viongozi wa Egypt, Jordan, UAE, Baharain, Saud Arabia, na Morocco wanaogopa Israel akishindwa vita basi wao wataondolewa kwenye viti vyao.
 
Siyo nchi za Kiarabu tu! Hata Canada nayo imewataka wananchi wake wote kuondoka Israel haraka iwezekanavyo. Maana wanafahamu fika kitakachotokea iwapo tu hao Mayahudi wataingia kwenye vita kamili na Herzbullah.
Kwanin mayahudi na siyo wayahudi? Hii ina maanisha nn?
 
Hiyo ramli yako iliyokuonesha US atakimbia uliipigia wapi?!

Umejaza "lakini" sijui mara ngapi, kacheze na watoto wenzio..
 
Muda si mrefu tutasikia malalamiko kuwa Israeli inafanya mauaji ya kimbari huko Lebanon. Nusrallah anaongea tu kwa sababu huwa haendi front ila kuishi kwenye mapango kama kenge.
😂 😂 😂 😂 Kuishi kwenye mapango kama kenge nimependa sana umalizio wako lakini hii vita itaifanya Israel ichake kabisa. Kama gaza kamji wamepigana toka October vipi kwa nchi nzima ya Lebanoni? Israel huenda ikafutika kwenye ramani na wazungu wakaanza kulalamika. Acha tuone
 
Unajua kwa kawaida yule mtu anayeitwa mswahili halisi waga ni muislamu kwa sababu ni mtu mwenye maneno mengi lakini hakuna vitendo na hiyo pia ndio tabia ya mwarabu.

Nakumbuka wakati Saddam alipochora mstari fulani wa kinadharia na kudai kwamba askari yeyote wa Marekani ambaye angeuvuka eti asingerudi nyumbani na kumuona mama yake lakini baadaye Saddam ndio alinyongwa na Wairaq wenzake.

Mashariki ya Kati hakuna nchi yoyote iliyo tayari kupigana vita na Israel na vita vikianza kati ya Israel na magaidi wa Hezbollah Iran atakaa pembeni na akikosea akaingia kwenye vita ndio utakua mwisho wa utawala wa mahayatollah nchini Iran.
 
Rudia kasome ulicho andika kuhusu UN, sina time kupoteza ma mtu mjinga
We mpiizi kweli, kurukia comments zinazokuzidi umejikuta unaingia chaka. Acha uvivu wa kusoma pia jufunze kuelewa acha kung’ang’ania upumbavu sababu hautakujenga. Unapinga halafu unaleta ushahidi unaokupinga mwenyewe.
 
Haha Superpower mchoko alikusanya mataifa 42 au kama sijakosea 46 afu juu ya hapo waliwahonga askari wa Iraq ili wamgeuke Sadam huyo ndio aweze kwenda pigana na Hezbullah 😄


View: https://youtu.be/7gfu3gcPIkw?si=13AQtWtYXyOZbxLC
Kawakimbia Yemen


Israel Gaza anapokea kichapo kila kukicha, akashinde Lebanon
 
Siyo nchi za Kiarabu tu! Hata Canada nayo imewataka wananchi wake wote kuondoka Israel haraka iwezekanavyo. Maana wanafahamu fika kitakachotokea iwapo tu hao Mayahudi wataingia kwenye vita kamili na Herzbullah.
Netanyahu ni Fala sana waisreli wanavyopenda maisha ya neema si hali yao itakuwa mBaya sana na uchumi si utskuwa minus
 
We mpiizi kweli, kurukia comments zinazokuzidi umejikuta unaingia chaka. Acha uvivu wa kusoma pia jufunze kuelewa acha kung’ang’ania upumbavu sababu hautakujenga. Unapinga halafu unaleta ushahidi unaokupinga mwenyewe.
Wewe ujinga wako huoni ulicho kiandika umesema mwaka 2018 ilijulikana Hezbullah anachimba tunnels kuelekea Israel, afu hapo hapo unasema UN walikuwa wanaficha kuwa Hezbullah ha cross blue line, sa unewapeleka wamajeshi wa UNIFIL kwenye tunnels 😄

Sa nikakujibu Israel na Hamasi wote wameongea kuna tunnels, sa ulicho lalamikia nini hapo? Kuwa Hezbullah ana Cross kwenda Israel😄 hivi we akili zako UN unataka wakachungulie au wakatafute tunnels ziko wapi, ikiwa Israel tunnels za Hamasi hazijui ziko wapi, waenda wanajeshi wa UNIFIL ambao wengine wa JWTZ waseme tumeona tunnels kichaa kweli wewe.

Kwa hio Israel yeye ndio anafata sheria za UN kuhusu Lebanon, na wakati wana Cross hio blue line, zile ndege zinafika mpaa South Beirut au zinaishia kwenye blue line haha

We ni mjinga sana.
 
Kwa jinsi alivyosema kuwa hawawezi kuwamaliza Hamas ni tiketi tosha ya Israel kuendelea kukaa gaza kwa kisingizio kuwa Hamas bado wapo....Mark my words....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…