Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

Unaleta maneno matupu Bila fact, inamaana hao China , Russia, Iran na nchi zingine zote huko UN zipo chini ya USA?
 
Unaleta maneno matupu Bila fact, inamaana hao China , Russia, Iran na nchi zingine zote huko UN zipo chini ya USA?
Wewe ni bwege lini UN Resolutions za hizo nchi zilipita kama US hataki? Juzi juzi hapo US kapitisha resolutions kusimamisha vita nchi zote zimekubali ni Urusi ndio hakukubaliana nayo lakini hakupiga veto.

Urusi walikuja na Resolution kama hio US peke ali ipiga veto na nchi zote kimya.

Hizo nchi ulizo zitaja wako against na US lakini kwa pale UN ni USA ndio mwenye sauti, dalili hizo nchi zote karibu zimepigwa sanction kwa kutumia UN resolutions, we baki na ujinga wako tu.






Nimekupa fact we leta fact zako sasa, we jinga tu.
 
Haujajibu swali langu.
 
Ni wayahudi gani hao ambao waislamu mtapigana nao kama mtume Muhammad alivyosema ilhali mnatuambia kuwa hao wayahudi akina netanyau ni fake?.
 
Ume andika ushabiki tu kijana
Bila shaka umekurupuka kujibu kwa kuangalia uandishi kuliko uhalisia. Kama ungekuwa unajua nguvu ya kivita ya hezbollah, basi husingeropokwa kwa mihemko. Huyo hezbollah uwezo wake wa kijeshi ni mkubwa kuliko hata majeshi ya nchi nyingi tofauti n hamas. Hezbinyo amewahi kuingia kwenye mgogoro wa kisiasa n USA, kilipigwa mpaka USA akakimbia n majeshi yake yote. Amewahi kukipiga na Israel mara kadhaa bila kukubali kushindwa. Inasemekama amekuwa akihifadhi dhana zake za zikita, ikiamini karibuni kutakuja kuchafuka n itabidi ijitetee. Juu ya yote, Hezbinyo sio kikundi cha kigaidi tu*,+militia group, ila pia ni chama cha kisiasa. Kiko vzuri kiuchumi n sio ombaomba. Tukirudi kwenye uhalisia, ikitokea vita kati ya Israel na lebanon+Hezbinyo+hamas=total destruction to Israel. Israel anaenjoy kwa sasa sababu kwake hakukulipuliwi. Ila akiwachokoza n kuingia kwenye vita n hao hezbinyo, kwake kutatembezewa mabamu kama wanavyofanya uko Palestine. Huyo hezbinyo sio mtu wa kawaida, wako vzuri kimbinu, kisilaha, kiuchumi, yani wamekamilika.
 
Ndo maana narudia tena ume andika kiushabiki maandazi hizi Pumba zako kwa hiyo mzee tuliza kipapiro iko uandike facts
 
Ndo maana narudia tena ume andika kiushabiki maandazi hizi Pumba zako kwa hiyo mzee tuliza kipapiro iko uandike facts
It's a fact, I can't fight against a wall. Nitakukumbusha tu uvamivi wa Israel kama utakamilika Lebanon. Ila I know probability lies way blow .3 for this to happen
 
Ndo maana yake.

Hivi kwanini Kuwait, Saudi, Bahrain, UAE huwa hakuna wajitoa muhanga?
Wanajaribu kufuata utamaduni wao kama ulivyokuwa hata kabla ya kuzaliwa kwa Mohammed. Hawa wenye kujilipua wanaegemea zaidi kwenye maandiko ya Quran na hadithi za mtume wao.
 
Pole sana
 

Wanapaswa waige alshabaab magaidi wa uislamu ambao huingia sehemu na kupambana wenyewe, sasa hawa wamekua waoga wanajificha kwenye watoto, ugaidi wao una kasoro sio kama kiislamu.
 
Israel Iron dome yao imeshaonyesha weakness kubwa, drone zinaingia hadi ndani 30km na hezbollah wanafahamu targets zote, ndege zilipo, military bases n.k

Hii vita Netanyahu aiepuke tu, maana itakuwa aibu ya karne.
Kwenye vita, sio lazima kushinda hata ukipigwa unajipanga upya unamgonga mpinzani wako. Ukiamua kuishi maisha ya Simba ivyo ni vitu vya kawaida kwa Simba kufukuzwa na kundi la fish, na haimaanishi kwamba fisi, anaweza pigana na Simba πŸ˜„ πŸ˜† πŸ˜… 😊 πŸ˜‚ 🀣 πŸ˜„ πŸ˜† πŸ˜… 😊
 
Israhell kaishaanza kuitwanga hizbullah?
Hatuombei vita ila israhell ikikaa kwenye 18 tunaipelekea moto wakutosha kabisa
Kama wana mwaka kasoro wameshindwa kuokoa magaidi wao kwenye kakata kamoja
Israhell yakwenye tv inatisha kuliko hii israhell halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…