Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

Ili tuwebusy wahuni waendelee kulimomonyoa taifa sio
 
Kwani nani alikwambia matatizo yetu na yao yanafanana? Matatizo yamesababishwa na CCM, wenzetu hawana matatizo kama yetu.

Vv
 
Mwagito,huyo ni zuzu kamili.Anaweza akavaa pampas na kwenda kunia bila kufungua halafu akainuka kwenda kukaa sebuleni kuangalia Sinema zetu pale Azam Teevee!
Nawewe umekesha unaangalia katuni za Gwajima?
 
Nipe fursa mimi ni saidia fundi. By the way hizo scholarship ndo walipewa watu kama Kipilimba na PhD juu ili aje kutengeneza mfumo wa kuiba uchaguzi daah kaz kwelikweli
Njoo dp
 
Ukifuatlia wewe hizo fursa inatosha. Usitupangie Cha kufuatilia
 
Mataifa ya hao watu serious leo wangekuwa NIDA na Tume ya uchaguzi.

Kitendo cha watu Kukesha wanamsubiria Polepole ni jambo kubwa na zito
 
Nope Mataifa ya huko pia kuna watu walikuwa wanakesha wakiangalia Big Brother au maisha ya Stars na Story za Papparazi.....

Raia / Mass / Umma lazima wawe entertained au kutafuta kitu cha kupoteza muda so long as wanaishi na kulipa kodi any shortcomings sio Makosa yao bali ni watunga Sera / Viongozi na Walamba asali ambao wanachukua Kodi za hawa wengi bila any value for the money..... Wangeleta value for money huenda kusingekuwa na sababu ya watu kukesha wakitafuta Scholarship au Kwenda nje sababu hapa hapa kwao pangetosha...
 
Ndo mnashinda mnaangalia press za polepole halafu mwsho wake ni nn pumbavu nyie
Ujumbe ni hivii wizi wenu wakimfumo umefikia tamati,ile maana ya dunia kijiji mliiielewaaa,ama ndio maana ya kuidunisha kayimba kila siku!
 
Vip wewe ulilala?
 
Atafutae hachoki akichoka ameshapata mimi mwenyewe niko uku nakusanya senene na bado sijakata tamaa leo ntatoka na senene wakutosha nivipaombele tu mzee baba…
 
Polepole ameanza kutoa press majuzi! Vipi kabla Polepole hajaanza kutoa press watu walikuwa wanafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…