Nipo nasoma PhD Canada full sponsorship
English ni shida uelewe , Hawa jamaa nilivyoona wanabadilisha mtaala nikakuta bado wameacha kiswahili kitumike nikasema hapa hakuna watu wenye Nia ya dhati na watu wa Taifa hili. Wanaija wamesambaa dunia nzima na wakenya Mana Wana confidence ya kupiga sound afande akajiliza pale kwa English kuwa Maisha ni magumu naenda kupambana nipate kubarua hata cha kuchomelea ama kuendesha basi nchini kwenu niachie bana namie ni mwanaume Kama wewe napambana wanangu ama familia yangu ipate kuiona keshoMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Muongo!Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Hahaha,Nipo nasoma PhD Canada full sponsorship
Katuni Tena, huo ndiyo ukweli. Nilikuwa najiuliza hivi Hawa CCM wanajiamini Nini Hadi wanawaambia vijana wakajiajiri, mara wanawakusanya maelfu ya watanzania wasio na ajira kufanyishwa interview za mchongo huku wakiwa na orodha halisi ya watakaoajiriwa rejea michakato wa ajira za ualimu mwaka huu. Yaani Ma CCM Yana dunda kabisa hayana hata wasi wasi Hadi ikapelekea kukaundwa NETO. kumbe yanajua kura za wananchi hazina maana Tena.Wewe endelea kuangalia katuni za polepole
Kwanini watafute scholarship ya kwenda nje na wana nchi yao inabagazwa na wahuni wachache?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kuliwaza taifa ndiyo kukoje?mawazo yako yameishia hapo iliwazi taifa kabisa
Kubali ukweli kenge weweWewe umeshapata fursa ngapi mpaka sasa
Sema ccm na polepole ndiyo wamewafilisha hapo na ujinga wenu,yaani hamna kumbukumbu kabisaaa lowasa,mrema,kingunge,sumaye,mbowe,nk wamewachezea michezo hiihii ya polepole bado hamjitambui,nyie Watanzania ni mawe kichwani.Slowslow amewashika pabaya ,mtasema yote nyie CCM ndio mmetufikisha hapa mama akongea mipasho tu
Press za pole pole hazikuwepo mwaka Jana, anachofanya pole pole ni kuonyesha uovu wa watawala, watu kama hawa hata kama tupo bize kutengeneza nuclear, lazima macho yetu ya we pia kwa, watawala,Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Vipi wanaopanda malori kuwasikiliza wanasiasa wa chama kilichokaa madarakani na kila mwaka kina ahadi zile zileMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮