Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817

Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐Ÿ—๏ธ

1. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China โ€“ 1,005 Mt
2. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India โ€“ 149 Mt
3. ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan โ€“ 84 Mt
4. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ U.S. โ€“ 80 Mt
5. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€“ 71 Mt
6. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea โ€“ 64 Mt
7. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Tรผrkiye โ€“ 37 Mt
8. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany โ€“ 37 Mt
9. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil โ€“ 34 Mt
10. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โ€“ 31 Mt

๐ŸŒŽ Rest of the World โ€“ 293Mt

(in million tonnes)

Source: World Steel Association
 
China peke yake inazalisha zaidi ya Metric Ton 1000 za chuma na mataifa yote yaliyobaki duniani ni Metric Ton 293

Wachambuzi wa masuala ya uchumi wana msemo:

​
"Everything you have in your home or office is either made of steel or by steel.

Steel is like the skeleton of the economy, providing essential infrastructure support."


​
Marekani inazalisha chuma sawa na 8% tu ya wanayozalisha China, ambayo ni sawa na chuma inayozalishwa kwenye jimbo moja tu la Hebei nchini China.

Mwaka 1993 China ilii-overtake Marekani kwa uzalishaji wa chuma na mwaka 1996 ikai-overtake Japan na kuwa the global king of steel.

Mr orange clown 'Trump' anajinadi kuwa anataka kurudisha viwanda Marekani na ku-compete na China kwenye ship building, kwa chuma gani walicho nacho?
​
 

Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐Ÿ—๏ธ

1. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China โ€“ 1,005 Mt
2. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India โ€“ 149 Mt
3. ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan โ€“ 84 Mt
4. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ U.S. โ€“ 80 Mt
5. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€“ 71 Mt
6. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea โ€“ 64 Mt
7. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Tรผrkiye โ€“ 37 Mt
8. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany โ€“ 37 Mt
9. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil โ€“ 34 Mt
10. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โ€“ 31 Mt

๐ŸŒŽ Rest of the World โ€“ 293Mt

(in million tonnes)

Source: World Steel Association
Source of raw materials: Africa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
hata hivi wachina wapo wengi sana na taifa lao bado ni kubwa na ni taifa ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi.

kuna nchi ukienda unakuta nchi ilisha malizwa kujengwa kwanza ukienda hauwezi kupata kiwanja cha kununua. kwahiyo mataifa yanayozalisha chuma kidogo haimanishi kwamba huo ndio mwisho wao wa kuzalisha chuma.

ila huwa wanazalisha chuma kulingana mahitaji yao.
 
Sourcing raw materials from Africa.. And selling final products to Africa
Sources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil

Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma

Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
​
 
hata hivi wachina wapo wengi sana na taifa lao bado ni kubwa na ni taifa ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi.
Suala sio idadi India wako wengi kuliko China mbona wamepigwa gap ndefu sana na China?

Kabla ya miaka ya 1993 na 1996 Marekani na Japan zilikuwa na idadi ndogo ya watu na waliizidi China kwenye uzalishaji wa chuma

Dunia yote ina idadi kubwa ya watu kuliko China inakuwaje China inaizidi kwenye uzalishaji wa chuma?

Suala hapo ni uwekezaji tu. Serikali ya China wako serious sana na manufacturing kuwa The World's factory kunahitaji sana uwe na chuma

Ukiwa na chuma ya kubabaisha kama Marekani usitegemee taifa liwe global manufacturing powerhouse
​
 
kuna nchi ukienda unakuta nchi ilisha malizwa kujengwa kwanza ukienda hauwezi kupata kiwanja cha kununua. kwahiyo mataifa yanayozalisha chuma kidogo haimanishi kwamba huo ndio mwisho wao wa kuzalisha chuma.
Matumizi ya chuma sio tu kwenye kuijenga nchi, bidhaa nyingi tunazotumia na zinazohitajika kwenye viwanda vikubwa vinahitaji sana chuma

Unafikiri China ingewezaje kuwa world's top kwenye utengenezaji wa meli, mitambo kama cranes, heavy machines, vipuli au magari duniani na bidhaa zingine za chuma na ku-export kama wasingekuwa na chuma cha kutosha?

Mataifa mengi yanaagiza bidhaa za chuma au zilizotengenezwa kwa chuma kutoka China
​
 
CHINA WILL BE INDUSTRIAL GIANT FOR EVER
Wellsaid, if you trace back history proves steel powers nations:

Britain: Led the Industrial Revolution with steel innovation

Germany: Ruhr Valley steel fueled its rise as Europeโ€™s manufacturing powerhouse

U.S: By the 1940s, produced half the worldโ€™s steel, driving global supremacy

Japan: By the 1980s heavy industries production fueled by steel

Steel isnโ€™t just metal itโ€™s power
​
 
Suala sio idadi India wako wengi kuliko China mbona wamepigwa gap ndefu sana na China?

Kabla ya miaka ya 1993 na 1996 Marekani na Japan zilikuwa na idadi ndogo ya watu na waliizidi China kwenye uzalishaji wa chuma

Dunia yote ina idadi kubwa ya watu kuliko China inakuwaje China inaizidi kwenye uzalishaji wa chuma?

Suala hapo ni uwekezaji tu. Serikali ya China wako serious sana na manufacturing kuwa The World's factory kunahitaji sana uwe na chuma

Ukiwa na chuma ya kubabaisha kama Marekani usitegemee taifa liwe global manufacturing powerhouse
​
Naunga mkono ulichomjibu kwa %100 umepiga kichwani arudi naamin!!!
 
Sources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil

Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma

Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
​
Kiluwa wala sio kikubwa kwasasa na kinaelekea kaburini.. Halafu kinatumia scraps za kawaida.. Kuna kimoja kinaitwa Hong Yu hicho ndio kikubwa
Serikali ya China ina mkono wake kule mchuchuma na Liganga kwenye raw materials
 
Back
Top Bottom