Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

China peke yake inazalisha zaidi ya Metric Ton 1000 za chuma na mataifa yote yaliyobaki duniani ni Metric Ton 293

Wachambuzi wa masuala ya uchumi wana msemo:

​
"Everything you have in your home or office is either made of steel or by steel.

Steel is like the skeleton of the economy, providing essential infrastructure support."

​
Marekani inazalisha chuma sawa na 8% tu ya wanayozalisha China, ambayo ni sawa na chuma inayozalishwa kwenye jimbo moja tu la Hebei nchini China.

Mwaka 1993 China ilii-overtake Marekani kwa uzalishaji wa chuma na mwaka 1996 ikai-overtake Japan na kuwa the global king of steel.

Mr orange clown 'Trump' anajinadi kuwa anataka kurudisha viwanda Marekani na ku-compete na China kwenye ship building, kwa chuma gani walicho nacho?
​
Unaweza ukawa na chuma lakin ukawa huzalishi. Vivo hivyo mafuta nk nk
 
hata hivi wachina wapo wengi sana na taifa lao bado ni kubwa na ni taifa ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi.

kuna nchi ukienda unakuta nchi ilisha malizwa kujengwa kwanza ukienda hauwezi kupata kiwanja cha kununua. kwahiyo mataifa yanayozalisha chuma kidogo haimanishi kwamba huo ndio mwisho wao wa kuzalisha chuma.

ila huwa wanazalisha chuma kulingana mahitaji yao.
Inawezekana uko sahihi
Lakini hebu tuambie
Mkishamaliza kujenga nchi mnalala kwamba mmeshamaliza kila kitu?

China peke yake ni zaidi ya 1000
Nchi zote zilizobaki kwa pamoja
Ni chini ya 300
Je kwa hoja yako idadi ya watu wote waliobaki kwenye nchi zote inazidiwa idadi na watu na china?
 
Linganisha hayo mataifa yaliyotajwa na sekta yao ya viwanda ikoje​
Nasema kuwa na chuma na kuzalisha chuma ni vitu viwili tofauti. Tanzania tuna chuma lakin hatuzalish chuma. Russia ina hifadh kubwa tu ya chuma lakin haizqlish chuma kwa wingi. Inategemea wewe na mahtaji yako. Huwez kulinganisha mahtaji ya watu bilion 1.4 na watu milion 140. Chief
 
Yeah ni sahihi lakini China haizalishi kwa ajili ya soko la ndani tu.
 
Yeah ni sahihi lakini China haizalishi kwa ajili ya soko la ndani tu.
Ni sawa lakin kama nilivyokuambia namba ya watu china ni bl 1.4 so Tofautisha na wengine. So ndan ya China kwenyewe wanaofanya hiyo biashara ni karibu mara nne ya chi nyingine
 
Ni sawa lakin kama nilivyokuambia namba ya watu china ni bl 1.4 so Tofautisha na wengine. So ndan ya China kwenyewe wanaofanya hiyo biashara ni karibu mara nne ya chi nyingine
Kwa nini India yenye idadi kubwa ya watu kuliko China haizalishi chuma kwa wingi kama China?

China 1005 Mt na india ni 149 Mt, mind the gape
 
Back
Top Bottom