Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #41
China walipo sasa ndipo walipokuwa mataifa ya Ulaya na Marekani takriban miaka 60 iliyopita hivyo kwa anayeelewa hawezi kushangaa.
Cha kushangaza kipo China inarise lwa kasi sana wenyewe wanafall kwa kasi sana
Kwa sasa China inazalisha chuma mara 150 ya Uingereza
Kwa sasa China inazalisha chuma mara 150 ya Uingereza