Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hiyo ni debate majibu ni mengi na watu wameshaandika paper nyingi na wanazidi kuandika
Hiyo ni debate majibu ni mengi na watu wameshaandika paper nyingi na wanazidi kuandika
Sababu nyingine china, Japan na Korea fedha zao wamekuwa wakizishusha thamani maksudi hii inapelekea cost of production
Hiyo ni debate majibu ni mengi na watu wameshaandika paper nyingi na wanazidi kuandika
Wewe mwenyewe umcopy na kupaste una-uhakika gani kuna ukweliNilitaka kukuonyesha kuwa uliyoyasema sio sahihi
China na Japan kila siku wanalalamikiwa wanashusha thamani za fedha zao hata trump ni moja ya mambo ambayo amekua akiyalalamikia na sababu za kuweka tarrifsSi kweli, kushusha thamani ya pesa hakupunguzi cost of production
Naunga mkono hoja,Uzalishaji mkubwa wa chuma ni sababu nyingine ya China kuadvance kwenye military hardware
Thaman ya fedha ya Japan ni sawa na sh 17 huku ya kenya ikiwa ni sh 20Si kweli, kushusha thamani ya pesa hakupunguzi cost of production
Sio military hardware mabody ya magari yote yatangenezwa na chumaNaunga mkono hoja,
Military hardware bila chuma utoboi,
Hitler aliisumbua sn dunia alipopata chuma
China na Japan kila siku wanalalamikiwa wanashusha thamani za fedha zao hata trump ni moja ya mambo ambayo amekua akiyalalamikia na sababu za kuweka tarrifs
Na nchi kama China wanatumia fixed exchange rate na sio floating exchange rate
Angalia thamani ya yen ilivyokuwa chini kwa unavyoona ni sawa

Wewe mwenyewe umcopy na kupaste una-uhakika gani kuna ukweli
Acha uongo umecopy unasema ni sahihiSio kucopy na kupaste hizo ndizo habari sahihi sio zile fake ulizoleta mkuu.
Nimecopy habari sahihiAcha uongo umecopy unasema ni sahihi
Umesema vyemaVinavyomtesa Trump.