Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

Sio kucopy na kupaste hizo ndizo habari sahihi sio zile fake ulizoleta mkuu. ​
Kama hujui exchange rate ina impact kwenye production cost unasafari ndefu sana kifikra

Jifunze kujenga hoja sio unaenda kucopy na kupaste kesho ukiwa kiongozi siutakuwa kama viongozi wa sahivi wanachofanya ni kucopy na kupaste
 
Devaluation haina impact yoyote kwenye kupunguza production cost

Kusudi kuu la devaluation inaboost exports by making a country's goods and services cheaper for foreign buyers
​
 
Sources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil

Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma

Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
​
Hiki Kiwanda kilipewa Promo oooooh kitatoa ajira zaidi ya 100000 oooooh I said ngoja niende mguu Kwa mguu hadi Disunyala namkuta HR my lovely Dada (@20) from my home street Kilangalanga oooh mdogo wangu karibu dada Joho tayari limevaliwa, sasa ? Nataka nipige mishe jibu lake sasa hahaha..
Hapa Mdogo wangu ni kupanga mstari hapo nje andika jina lako utaitwa maana direct post ni 25 tu. Nikatoa shukrani zangu nikaondoka kumbe ajira tulizokuwa tunaambiwa ni za kupanga mstari na hao sio zaidi ya 60 Kwa siku.

I learnt something from there we need to encourage more investors especially Agribusiness - agricultural industry - made products.
 
Wakati wengine wanatengeneza viwanda vya meli, sisi tunatengeneza ratiba za kusoma Zaburi.

Wakati wengine wanachoma chuma kwenye blast furnace, sisi tunachoma mishumaa kwenye night vigil.

Wakati wao wanatafakari future ya uzalishaji, sisi tunatafakari Zaburi 23.

Au shetani ndo China?
Ila wale wanaokariri na kujazana uwanjani umewasahau
 
Kama hujui exchange rate ina impact kwenye production cost unasafari ndefu sana kifikra

Jifunze kujenga hoja sio unaenda kucopy na kupaste kesho ukiwa kiongozi siutakuwa kama viongozi wa sahivi wanachofanya ni kucopy na kupaste
Kwanini unawadhihaki viongozi wetu?

Unajiona una akili kuliko viongozi wetu?

Au unataka utiwe adabu na jeshi letu?
 
Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️

1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt
2. 🇮🇳 India – 149 Mt
3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt
4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt
5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt
6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt
7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt
8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt
9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt
10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt

🌎 Rest of the World – 293Mt

(in million tonnes)

Source: World Steel Association
Sijaona taifa teule hapo
 
Back
Top Bottom