Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Source of raw materials: Africa๐ญ๐ญ๐ญ
Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐๏ธ
1. ๐จ๐ณ China โ 1,005 Mt
2. ๐ฎ๐ณ India โ 149 Mt
3. ๐ฏ๐ต Japan โ 84 Mt
4. ๐บ๐ธ U.S. โ 80 Mt
5. ๐ท๐บ Russia โ 71 Mt
6. ๐ฐ๐ท South Korea โ 64 Mt
7. ๐น๐ท Tรผrkiye โ 37 Mt
8. ๐ฉ๐ช Germany โ 37 Mt
9. ๐ง๐ท Brazil โ 34 Mt
10. ๐ฎ๐ท Iran โ 31 Mt
๐ Rest of the World โ 293Mt
(in million tonnes)
Source: World Steel Association
Sourcing raw materials from Africa.. And selling final products to AfricaCHINA WILL BE INDUSTRIAL GIANT FOR EVER
Sourcing raw materials from Africa.. And selling final products to Africa
hata hivi wachina wapo wengi sana na taifa lao bado ni kubwa na ni taifa ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi.
kuna nchi ukienda unakuta nchi ilisha malizwa kujengwa kwanza ukienda hauwezi kupata kiwanja cha kununua. kwahiyo mataifa yanayozalisha chuma kidogo haimanishi kwamba huo ndio mwisho wao wa kuzalisha chuma.
CHINA WILL BE INDUSTRIAL GIANT FOR EVER
Naunga mkono ulichomjibu kwa %100 umepiga kichwani arudi naamin!!!Suala sio idadi India wako wengi kuliko China mbona wamepigwa gap ndefu sana na China?
Kabla ya miaka ya 1993 na 1996 Marekani na Japan zilikuwa na idadi ndogo ya watu na waliizidi China kwenye uzalishaji wa chuma
Dunia yote ina idadi kubwa ya watu kuliko China inakuwaje China inaizidi kwenye uzalishaji wa chuma?
Suala hapo ni uwekezaji tu. Serikali ya China wako serious sana na manufacturing kuwa The World's factory kunahitaji sana uwe na chuma
Ukiwa na chuma ya kubabaisha kama Marekani usitegemee taifa liwe global manufacturing powerhouse
Kiluwa wala sio kikubwa kwasasa na kinaelekea kaburini.. Halafu kinatumia scraps za kawaida.. Kuna kimoja kinaitwa Hong Yu hicho ndio kikubwaSources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil
Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma
Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
Africa bado hatuna viongozi na kibaya zaidi intellectuals have failed our continent big times. Utawasikia ma Dr na ma professors wanavyo mnanga Traore, poor Africa,poor Africans ๐ข ๐ญSourcing raw materials from Africa.. And selling final products to Africa
Hong Yu Wanafanya vizuriKiluwa wala sio kikubwa kwasasa na kinaelekea kaburini.. Halafu kinatumia scraps za kawaida.. Kuna kimoja kinaitwa Hong Yu hicho ndio kikubwa
Serikali ya China ina mkono wake kule mchuchuma na Liganga kwenye raw materials
Imagine Kilua kwa rekodi moja tu ya matumizi ya umeme kwa Hong Yu ni Mara almost 4 kwa mwezi. Halafu Kiluwa hana matawi lakini Hong yu anayoHong Yu Wanafanya vizuri