Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Imagine Kilua kwa rekodi moja tu ya matumizi ya umeme kwa Hong Yu ni Mara almost 4 kwa mwezi. Halafu Kiluwa hana matawi lakini Hong yu anayo
Hao siwezi kujua kwakweliHong Yu wanazalisha tani 5000 kwa mwezi sijajua MMI, Lake, SITA, Metro, Kamal na wengineo wanazalisha tani ngapi?
Badala ya kuihurumia nchi yako ambayo haina inachozalisha kimataifa unaleta uchawa kwa wachina ambao raslimali wanatoa kwetu
Inasikitisha sanaSource of raw materials: Africa😭😭😭
Uhakika mkuuCHINA WILL BE INDUSTRIAL GIANT FOR EVER
Unaweza ukawa na chuma lakin ukawa huzalishi. Vivo hivyo mafuta nk nkChina peke yake inazalisha zaidi ya Metric Ton 1000 za chuma na mataifa yote yaliyobaki duniani ni Metric Ton 293
Wachambuzi wa masuala ya uchumi wana msemo:
"Everything you have in your home or office is either made of steel or by steel.
Steel is like the skeleton of the economy, providing essential infrastructure support."
Marekani inazalisha chuma sawa na 8% tu ya wanayozalisha China, ambayo ni sawa na chuma inayozalishwa kwenye jimbo moja tu la Hebei nchini China.
Mwaka 1993 China ilii-overtake Marekani kwa uzalishaji wa chuma na mwaka 1996 ikai-overtake Japan na kuwa the global king of steel.
Mr orange clown 'Trump' anajinadi kuwa anataka kurudisha viwanda Marekani na ku-compete na China kwenye ship building, kwa chuma gani walicho nacho?
Inawezekana uko sahihihata hivi wachina wapo wengi sana na taifa lao bado ni kubwa na ni taifa ambalo linaendelea kujengwa kwa kasi.
kuna nchi ukienda unakuta nchi ilisha malizwa kujengwa kwanza ukienda hauwezi kupata kiwanja cha kununua. kwahiyo mataifa yanayozalisha chuma kidogo haimanishi kwamba huo ndio mwisho wao wa kuzalisha chuma.
ila huwa wanazalisha chuma kulingana mahitaji yao.
Unaweza ukawa na chuma lakin ukawa huzalishi. Vivo hivyo mafuta nk nk
Nasema kuwa na chuma na kuzalisha chuma ni vitu viwili tofauti. Tanzania tuna chuma lakin hatuzalish chuma. Russia ina hifadh kubwa tu ya chuma lakin haizqlish chuma kwa wingi. Inategemea wewe na mahtaji yako. Huwez kulinganisha mahtaji ya watu bilion 1.4 na watu milion 140. ChiefLinganisha hayo mataifa yaliyotajwa na sekta yao ya viwanda ikoje
Yeah ni sahihi lakini China haizalishi kwa ajili ya soko la ndani tu.Nasema kuwa na chuma na kuzalisha chuma ni vitu viwili tofauti. Tanzania tuna chuma lakin hatuzalish chuma. Russia ina hifadh kubwa tu ya chuma lakin haizqlish chuma kwa wingi. Inategemea wewe na mahtaji yako. Huwez kulinganisha mahtaji ya watu bilion 1.4 na watu milion 140. Chief
Ni sawa lakin kama nilivyokuambia namba ya watu china ni bl 1.4 so Tofautisha na wengine. So ndan ya China kwenyewe wanaofanya hiyo biashara ni karibu mara nne ya chi nyingineYeah ni sahihi lakini China haizalishi kwa ajili ya soko la ndani tu.
Kwa nini India yenye idadi kubwa ya watu kuliko China haizalishi chuma kwa wingi kama China?Ni sawa lakin kama nilivyokuambia namba ya watu china ni bl 1.4 so Tofautisha na wengine. So ndan ya China kwenyewe wanaofanya hiyo biashara ni karibu mara nne ya chi nyingine
Kwa sehemu kubwa ni Australia na BrazilMalighafi wanatoa wapi?
Ina maana China imefanikiwa kuchukua malighafi kwenye hizo nchi?Kwa sehemu kubwa ni Australia na Brazil