Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #41
China walipo sasa ndipo walipokuwa mataifa ya Ulaya na Marekani takriban miaka 60 iliyopita hivyo kwa anayeelewa hawezi kushangaa.
Ina maana China imefanikiwa kuchukua malighafi kwenye hizo nchi?
Steel isn’t just metal it’s powerUzalishaji mkubwa wa chuma ni sababu nyingine ya China kuadvance kwenye military hardware
Kinachotukwamisha sisi kununua na kutengeneza huku kwetu ni nini?Sio kuchukua ni kununua
Kinachotukwamisha sisi kununua na kutengeneza huku kwetu ni nini?
Unachanganya madesaSources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil
Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma
Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
Smelter ya chuma inaweza tumia coal kama primary source of energy through blast furnanceKuzalisha chuma inataka nishati ya kutosha Africa inakabiliwa na uhaba na gharama kubwa ya nishati na wakati huohuo kuna wingi wa chuma inayotoka nje kwa bei rahisi, infrastructure na logistics deficits, bado wengi wanatumia outdated tech ambayo sio energy efficient, uhaba wa soko la ndani
Unachanganya madesa
Viwanda vinavyosemewa ni smelter za steel na sio mfano wa hicho cha kiluwa steel group cha mlandizi
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA VIWANDA VIKUBWA VYA STEEL (SMELTER) sababu Tanzania tuna iron ore nyingi tu mfano ni kule legenga na mchuchuma kule ludewa
Sio kweliKwanza unahitaji uboreshe upatikanaji wa nishati, miundombinu na technology
Na teknolojia ya kutengeneza crude steel inakua ukiwa outdadted hautaweza kushindana na wazalishaji wa nje
Uingereza, South Africa na Marekani wamefikia hatua wanafunga baadhi ya steel mills kwa sababu ya competition
Wanasiasa vilaza. Na hata wakianzisha watataka wapige hadi mradi ufe.Kinachotukwamisha sisi kununua na kutengeneza huku kwetu ni nini?
Nchi kama yetu Haina shida ya nishati. Ukanda wenye chuma kingi ndiyo huo huo una makaa ya kutosha.Kuzalisha chuma inataka nishati ya kutosha Africa inakabiliwa na uhaba na gharama kubwa ya nishati na wakati huohuo kuna wingi wa chuma inayotoka nje kwa bei rahisi, infrastructure na logistics deficits, bado wengi wanatumia outdated tech ambayo sio energy efficient, uhaba wa soko la ndani
Hakuna haja ya kusafirisha mbali. Liganga ni mlima wa madini chuma ndani ya Ludewa. Mchuchuma ni eneo lenye makaa ya mawe ndani ya Ludewa. Tungeweza fua chuma cheap sana. Vichwa vimejaa kamasi.Smelter ya chuma inaweza tumia coal kama primary source of energy through blast furnance
Aluminium smelter ndo inayotumia umeme mwingi sana na ni expensive sana ila steel smelter sio expensive sababu unaweza tumia makaa ya mawe
MKOA WA RUVUMA UNA MAKAA YA MAWE MENGI NI KIASI TU CHA KUYASHAFIRISHA MPAKA LUDEWA AMBAPO UNAJENGA BLAST FURNANCE UNAANZA KUTENGENEZA CHUMA
Mfano marekani alihama toka kwenye smelter mpaka kwenye ulinzi akawa anatumia gharama kubwa sana kwenye budget ya ulinzi mpaka leo
Uingereza akaachana na viwanda akaamia kwenye finance hapo unategemea nini lazima smelter zifeli, ukiamua kubase kwenye viwanda baki kwenye viwanda na sio tena unataka kuwa dominant kwenye finance lazima ufeli kama nchi ndo maana mpaka leo hii uingereza ana-steel smelter moja tu ni aibu sana
Katika metals zote steel inamatumizi makubwa sana na ina fedha na ina-market capitalization kubwa sana ila sijui ugumu uko wapiHakuna haja ya kusafirisha mbali. Liganga ni mlima wa madini chuma ndani ya Ludewa. Mchuchuma ni eneo lenye makaa ya mawe ndani ya Ludewa. Tungeweza fua chuma cheap sana. Vichwa vimejaa kamasi.