Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kama hujui exchange rate ina impact kwenye production cost unasafari ndefu sana kifikraSio kucopy na kupaste hizo ndizo habari sahihi sio zile fake ulizoleta mkuu.
Mtu ameshindwa hata ku-digest alafu anajiona yuko sahii tunajamii ya watu wanaopenda sana short-cutAcha uongo umecopy unasema ni sahihi
Bahati mbaya sana nabishana na mtu ambaye ni mshabiki hajui hata kujenga hojaUlitaka China ipangiwe na mataifa mengine kwenye masuala yao ya kiuchumi?
Kama hujui exchange rate ina impact kwenye production cost unasafari ndefu sana kifikra
Jifunze kujenga hoja sio unaenda kucopy na kupaste kesho ukiwa kiongozi siutakuwa kama viongozi wa sahivi wanachofanya ni kucopy na kupaste
Bahati mbaya sana nabishana na mtu ambaye ni mshabiki hajui hata kujenga hoja
Wewe unacopy na kupaste alafu unajiona unajua economics seriousNilisikia ndio unataka uwe raisi wa nchi sasa kama hata basic economics inakushinda kazi kweli kweli, ila kila la heri Mheshimiwa Raisi ๐ ๐ ๐
Bado una asafari ndefu sana mzee wa kucopy na kupasteDevaluation haina impact yoyote kwenye kupunguza production cost
Kusudi kuu la devaluation inaboost exports by making a country's goods and services cheaper for foreign buyers
Hiki Kiwanda kilipewa Promo oooooh kitatoa ajira zaidi ya 100000 oooooh I said ngoja niende mguu Kwa mguu hadi Disunyala namkuta HR my lovely Dada (@20) from my home street Kilangalanga oooh mdogo wangu karibu dada Joho tayari limevaliwa, sasa ? Nataka nipige mishe jibu lake sasa hahaha..Sources kubwa ya irone ores ni Australia na Brazil
Good news ni kuwa Wachina pia wamewekeza sana Afrika kwenye viwanda vya uzalishaji wa chuma
Hata Tanzania kuna kiwanda kikubwa sana Kiluwa Steel Group pale Mlandizi ni uwekezaji wa Wachina
Ila wale wanaokariri na kujazana uwanjani umewasahauWakati wengine wanatengeneza viwanda vya meli, sisi tunatengeneza ratiba za kusoma Zaburi.
Wakati wengine wanachoma chuma kwenye blast furnace, sisi tunachoma mishumaa kwenye night vigil.
Wakati wao wanatafakari future ya uzalishaji, sisi tunatafakari Zaburi 23.
Au shetani ndo China?
Nani hao mkuu!! Kobazi au...?Ila wale wanaokariri na kujazana uwanjani umewasahau
Kwanini unawadhihaki viongozi wetu?Kama hujui exchange rate ina impact kwenye production cost unasafari ndefu sana kifikra
Jifunze kujenga hoja sio unaenda kucopy na kupaste kesho ukiwa kiongozi siutakuwa kama viongozi wa sahivi wanachofanya ni kucopy na kupaste
Kwani raw materia ziko Africa pekee?Sourcing raw materials from Africa.. And selling final products to Africa
Kwani raw materia ziko Africa pekee?
Sijaona taifa teule hapoTop 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐๏ธ
1. ๐จ๐ณ China โ 1,005 Mt
2. ๐ฎ๐ณ India โ 149 Mt
3. ๐ฏ๐ต Japan โ 84 Mt
4. ๐บ๐ธ U.S. โ 80 Mt
5. ๐ท๐บ Russia โ 71 Mt
6. ๐ฐ๐ท South Korea โ 64 Mt
7. ๐น๐ท Tรผrkiye โ 37 Mt
8. ๐ฉ๐ช Germany โ 37 Mt
9. ๐ง๐ท Brazil โ 34 Mt
10. ๐ฎ๐ท Iran โ 31 Mt
๐ Rest of the World โ 293Mt
(in million tonnes)
Source: World Steel Association
Sijaona taifa teule hapo