Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
au muonekano wako unaonesha hauna pesaHabari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Embu tafuta kamusi kwanza alafu tutaendelea.....Hivi muonekanao ni nn?
Na personality ni nn?
Personality ni ile hali ya muonekano,,Embu tafuta kamusi kwanza alafu tutaendelea.....
Personality ni sawa na UTU/TABIA !!Personality ni ile hali ya muonekano,,
Hii personality sio uzuri wa mtu. Yaani handsome au vinginevyo, ,,
bali ni muonekano mzuri wenye hadhi fulani.,,ambao huletwa na mavazi fulani..
Na good looking ni hali hyo hiyo ya muonekano.. Mfano kuvaa vzr kama gentleman,,.
Na kupendeza.
Nadhani ni hivyo..au inamaana nyingine tofauti?
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Pole sana njaa mbaya sana....Haya ndio madhara ya booming ya smartphone Africa, dereva bodaboda kichwani una kiduku, suruali Jean's kama ya wabogojo imebana npaka kwenye korodani,imechanwa chanwa kwenye magoti na wewe unamiliki smartphone
Badala ya kutafuta wateja haya ndio unayoyapost
Tajiri wa Magomeni mpe mbinu za matajiri wenzako wa Magomeni aweze kupata watoto wazuri.au muonekano wako unaonesha hauna pesa
Kwani hela yako ina uhusiano gani na kutongoza?Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Sawa kaka mkubwa!Sasa hao sio matajiri ni kama mtoa mada alivyosema!! Matajiri ni levo za kina Bakhresa,Mo etc hao unaozungumzia wewe ni wajasiliamali waliochangamka.
Bora umeuliza[emoji23][emoji23][emoji23]Tajiri unaendaje mliman city??
Huu Uzi nimeishia kucheka tu!!ππππππTajiri unaendaje sehemu chafu chafu kama Mlimani City, matajiri wenzako huwa wanaenda maduka ya Mbagala na Tandika.