Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
au muonekano wako unaonesha hauna pesa
 
Embu tafuta kamusi kwanza alafu tutaendelea.....
Personality ni ile hali ya muonekano,,

Hii personality sio uzuri wa mtu. Yaani handsome au vinginevyo, ,,

bali ni muonekano mzuri wenye hadhi fulani.,,ambao huletwa na mavazi fulani..

Na good looking ni hali hyo hiyo ya muonekano.. Mfano kuvaa vzr kama gentleman,,.
Na kupendeza.

Nadhani ni hivyo..au inamaana nyingine tofauti?
 
Personality ni sawa na UTU/TABIA !!
 
Haya ndio madhara ya booming ya smartphone Africa, dereva bodaboda kichwani una kiduku, suruali Jean's kama ya wabogojo imebana npaka kwenye korodani,imechanwa chanwa kwenye magoti na wewe unamiliki smartphone

Badala ya kutafuta wateja haya ndio unayoyapost
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
 
Tatizo ukitongoza wanawake siku hizi automatic anakuweka kwenye kitabu chake walipa madeni
 
Haya ndio madhara ya booming ya smartphone Africa, dereva bodaboda kichwani una kiduku, suruali Jean's kama ya wabogojo imebana npaka kwenye korodani,imechanwa chanwa kwenye magoti na wewe unamiliki smartphone

Badala ya kutafuta wateja haya ndio unayoyapost
Pole sana njaa mbaya sana....
 
hivi siku hizi kuna mademu wa kutongoza kweli? kweli kabisa? huyo demu atakuwa na nini? siku hizi tunatapeliana tu haijalishi wewe ni tajiri au maskini. kinachotakiwa ni kujifunza namna ya kutapeli, mfano kama demu anajifanya ni wa kwenda kwa mzee wa upako wewe inabidi ujifanye pastor, kama ni wa viwanja tafuta hela kakodishe magari meusi, kama ni wale wa kwenda kwa kalumanzila wewe jifanye mutu ya sumbawanga akija kushtuka, kashaliwa, sasa baada ya hapo kama show ilikuwa ya kibabe ananasa mwenyewe, shubamiti. kama mtu anataka darasa la bure anitafute.
 
Tajiri unakwama wapi? Inatakiwa hela yako unaipangia majukumu huku wewe ukiwa umetulia zako. Yaani hela yako inamwita mwanamke, inamtongoza, inampeleka eneo la tukio. Wewe unabandua tu.
 
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Kwani hela yako ina uhusiano gani na kutongoza?
 
Najua hatuwezi kulingana,lkn pia niwape pole wote waliopingana na ukweli niliondika hapo juu.....
 
Huu uzi nadhani nimeupost kimakosa sana!!! lengo lilikuwa ku shea story ya kweli inayonihusu, sikujua kama nitaumiza watu wengi kisaikolojia kwa kuongea ukweli na kutanabahisha status yangu.....
natoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine.....
namaliza kwa kuwaondolea mashaka....
mm ni tajiri kweli hapana mchezo......salimieni waume zenu na wake zenu huko majumbani mwenu goodnight.
Thread closed.
 
Back
Top Bottom