Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo
Kiukweli hii barabara iko busy sana ila makampuni ni yaleyale akina Machame, Dolphin, kapricon na championing kwa mabasi makubwa na kwa mabasi madogo namuana sana vatcan na root pekee.
Unaweza kusimamia kituoni njiani hadi saa nzima halafu usipite gari ya maana na ikija gari basi ujue hapo makonda wake ni maringo kwa kwenda mbele. Tofauti kabisa na route nilizotaja hapo juu barabara ziko busy kila baada ya dakika 15 unapats gari na uhakika wa usafiri muda wote ila hii route ya Dodoma Arusha ikishafika saa 1 tu jioni usafiri ni shida kupata njiani. Kwahiyo mabosi wenye vipaja, vicoaster na vicivilian njoo mruke na hili road mkusanye maokoto.
Hii route ya kiwaki sana maana wapiga debe Wana sauti kuliko hata dereva na konda wake, oya wambulu wameru wachaga na warangi mliojazana kwenye hii route tafuteni kazi nyingine bwana mnaudhi mno