Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
N
Nilipanda iyo gari inayotoka Tanga dar wako vizuri sanaNaomba nimsalimie Dereva wa basi la NACHARO Royal Coach aliyetutoa Tanga jana saa moja asubuhi kutuleta Dodoma.
Japo sijamfahamu kwa sura wala wajihi ila anaendesha vizuri sana, nimekupenda bure wewe dereva wa jana wa NACHARO.