Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue n distance costa lazm itachoka mapema klomita 400 unajua lakn au yawezakuta ujui maana Wa bongo weng wetu hesabat ilikuwa inatupga chnKwamba wewe unajua sana hii barabara ya Dodoma Arusha kuliko sisi wakazi wa huku?
Uunasafirije na vyakula?Ushamba wetu uko wapi mkuu
😀
Sijapenda
Hii inaelekea hadi Moshi hama inaishia R chuga?Ngasele inachomoka saa 3 usiku. Waweke gari ya saa 4, 5, 6 waifungue dodoma, manyara na Arusha.
Umesoma haraka ili unijibu - Hujaelewa bado, rudia kusoma au ni hivi...
Nimeandika Dar -Moshi/Arusha na siyo Moshi - Arusha.
Hy n 600 klomita Arusha darUmesoma haraka ili unijibu - Hujaelewa bado, rudia kusoma au ni hivi...
Nimeandika Dar -Moshi/Arusha na siyo Moshi - Arusha.
Itakuwa inaunga, gari zao nyingi haziishi chuga.Hii inaelekea hadi Moshi hama inaishia R chuga?
Abilia wa wapi hao unaowasemea hapa?Abiria wengi wanapanda malori
Kwa hiyo hizo 600km ndiyo hamna coaster siyo?Hy n 600 klomita Arusha dar
AmKATRINA kua makini na huyu kijanaDaaah asante nimepata taarifa
Vishu umeniandama sana..AmKATRINA kua makini na huyu kijana
Hovyo sana ..hawajali muda. Wakikwambia Saa sita unaoondoka saa tisaNacharo wapo vizuri sana nawakubali sana