Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

N
Naomba nimsalimie Dereva wa basi la NACHARO Royal Coach aliyetutoa Tanga jana saa moja asubuhi kutuleta Dodoma.
Japo sijamfahamu kwa sura wala wajihi ila anaendesha vizuri sana, nimekupenda bure wewe dereva wa jana wa NACHARO.
Nilipanda iyo gari inayotoka Tanga dar wako vizuri sana
 
Kijanaa naona umekula maharagwe vimbishaa unatowa vjambo kwa mstari bila kufkri costa n Arusha Babat kuna Arusha Karatu sasa we hii ya km 400 Arusha Dodoma costa gani inapga route za hzo klomita kwa hapa bongo?
Kwamba wewe unajua sana hii barabara ya Dodoma Arusha kuliko sisi wakazi wa huku?
 
Kwenye wengi kuna pesa "kariakoo pamejaa mbona wasihame labda wa kwenda mkuranga kufungua biashara
 
Mkuu hii barabara sijajua kwanini wafanyabiashara wa mabasi wanaikwepa lakini binafsi naiona iko potential sana ili kuondoa ukiritimba na ulanguzi wa hawa mawakala uchwara barabarani na usumbufu wao ni vyema wakamwaga mabasi maana muingiliano wa Arusha Dodoma ni mkubwa sana Sasa sawia kabisa na wa Morogoro Dodoma
 
Naomba nimsalimie Dereva wa basi la NACHARO Royal Coach aliyetutoa Tanga jana saa moja asubuhi kutuleta Dodoma.
Japo sijamfahamu kwa sura wala wajihi ila anaendesha vizuri sana, nimekupenda bure wewe dereva wa jana wa NACHARO.
Mlipitis Njia ya wapi
 
Mbona machame ana ratiba ya 1910hrs na 2000hrs?
 
Sasa mkuu Arusha mosh n 80 km Arusha Dodoma n 400 alaf mleta mada anataka costa iende kwa 8000/ maana costa inaishia Babat ambayo n kilometers 165 kuto Arusha
Umesoma haraka ili unijibu - Hujaelewa bado, rudia kusoma au ni hivi...

Nimeandika Dar -Moshi/Arusha na siyo Moshi - Arusha.
 
Ngasele inachomoka saa 3 usiku. Waweke gari ya saa 4, 5, 6 waifungue dodoma, manyara na Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…