Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

Kwamba wewe unajua sana hii barabara ya Dodoma Arusha kuliko sisi wakazi wa huku?
Issue n distance costa lazm itachoka mapema klomita 400 unajua lakn au yawezakuta ujui maana Wa bongo weng wetu hesabat ilikuwa inatupga chn
 
Issue n distance costa lazm itachoka mapema klomita 400 unajua lakn au yawezakuta ujui maana Wa bongo weng wetu hesabat ilikuwa inatupga chn
Ziko vatcan zinatoka Arusha kwenda Dodoma kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…