Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Jamaa anakwambia karibu rafiki zao wote ndo kazi yao 😄

Kuna dada mmoja mbongo alikuwa anapiga mzigo UN, alipigwa tukio na hao raia acha kabisa...

Jamaa alijifanya pastor, akamuoa binti yule na harusi ikafanywa Bongo na huko kwao upoponi...

Miezi miwili mingi, ndoa imevunjika na dada si mfanyakazi tena wa UN...
 
Wale wanawapiga madada zetu hapa.
Mpopo mara nyingi akimuoa mbongo there is always a motive behind.
Hawana huruma yani anaweza mwaribia mdada maisha kabisa akamtoa kwenye reli hajali hata.
Kuna mmoja hapo niko naye alipigwa akazalishwa na kutelekezwa
 
Hawa jamaa wapo vizuri sana katika ishu hizi na ni well organized jamaa wanaweza hata kutengeneza US military Ids na wakatumia kutapeli wanawake wakizungu ambao wanavutwa kwenye eneo la tukio wakiamin jamaa ni USA soldier,sasa siku katika story story wanaingiziwa habari za pesa hapo sasa ndio wanaumia..

Screenshot_20220410-083525_WhatsApp.jpg

Screenshot_20220410-083356_WhatsApp.jpg
 
Hawa jamaa wapo vizuri sana katika ishu hizi na ni well organized jamaa wanaweza hata kutengeneza US military Ids na wakatumia kutapeli wanawake wakizungu ambao wanavutwa kwenye eneo la tukio wakiamin jamaa ni USA soldier,sasa siku katika story story wanaingiziwa habari za pesa hapo sasa ndio wanaumia..

View attachment 2182322

View attachment 2182326
Yes hao wataalam wa graphics ndo kazi yao anasema ni lazima kutengeneza docs na picha ya kumwaminisha mhusika kuwa kweli ni mtu halisi. Kama yuko singapore atahakikisha ana edit picha kuthibitisha hilo.
Wanatengeneza kila kitu.
Hii formula pia wanaitumia kwenye kuuza fake gold na jewels maana client uwa wanayaka mtu apige picha akiwa ameandika tarehe ya siki hiyo na karatasi kaiweka pembeni ya hizo gold
 
Yes na pia sometimes wanaedit photo frame for client hapa sasa wataedit wall frame ,birthday cake hawa jamaa jahu sana aisee
 
Mbona kila wachambuzi wa SOKA Tanzania wakipost linafuata tangazo la ngono? Alipost Eddo Kumwembe,Ally Kamwe nk inakuja tangazo la elilrobath anadai hajapata anahitaji mtu wa kumpelekea moto.Hii maana yake ni nini? Au wachambuzi nao ni scammers ama wanawashirikisha tu?
 
Yes na pia sometimes wanaedit photo frame for client hapa sasa wataedit wall frame ,birthday cake hawa jamaa jahu sana aisee
😄😄😄 Kwakweli wako vizuri katika kazi yao. Wanapiga ela kinoma
 
Kuna dada mmoja mbongo alikuwa anapiga mzigo UN, alipigwa tukio na hao raia acha kabisa...

Jamaa alijifanya pastor, akamuoa binti yule na harusi ikafanywa Bongo na huko kwao upoponi...

Miezi miwili mingi, ndoa imevunjika na dada si mfanyakazi tena wa UN...
Ina maana alipigwa hela au?
 
Back
Top Bottom