Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Wale wanawapiga madada zetu hapa.
Mpopo mara nyingi akimuoa mbongo there is always a motive behind.
Hawana huruma yani anaweza mwaribia mdada maisha kabisa akamtoa kwenye reli hajali hata.
Kuna mmoja hapo niko naye alipigwa akazalishwa na kutelekezwa
Wanawatumia kwenye madawa ya kulevya au?
 
Duuuh si kama yule mtengeza shepu...poshqueen yule mpopo haonekani na kamzalisha kalala mbele na yy alilipa mahari tuu[emoji848][emoji848]
Mpopo uwa anawekeza. Akiona anaweza pata million 60 kutoka kwako, basi atawekeza hata 20.
Mfano atakununulia gari akuspoil. Hata kama hiyo pesa huna cash lakini anajua kuwa unaweza chukua mkopo atafanya hivyo.
Baadae atakuja na proposal ambayo huwezi ikataa ukizingatia ushamwamini
 
Hajawahi simulia exactly kilichomkuta, ila aliporudi alikuwa raia wa kawaida life la kukwea daladala, yupo depressed, kutwa kushinda church
Kwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?

Duuuh atakuwa alimfanyia kitu kibaya sana mweeh
 
Kwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?

Duuuh atakuwa alimfanyia kitu kibaya sana mweeh
Atakuwa labda alimfanya apige ela ya watu maana wale hawana huruma kabisa na litakalokupata. Kama wanapeleja madada zao kuwauza thailand na india unategemea nini
 
matapeli wapo kila mahali.

mi huyu nimekutana nae watsap tumechat sana kaniambia yuko Dubai.

anatuma voice notes tu hataki nimuone kwa selfie anadai simu yake mbovu..

Hapa kaanza kuniomba hela
Screenshot_20220410-102739.png
 
Mtu yuko dubai analipwa laki 7 kwa mwezi lakin anaomba omba elfu 36 eti mzigo umekwama kariakoo😅😅😅
Screenshot_20220410-103155.png
 
Mpopo uwa anawekeza. Akiona anaweza pata million 60 kutoka kwako, basi atawekeza hata 20.
Mfano atakununulia gari akuspoil. Hata kama hiyo pesa huna cash lakini anajua kuwa unaweza chukua mkopo atafanya hivyo.
Baadae atakuja na proposal ambayo huwezi ikataa ukizingatia ushamwamini
Very true....Kuna jamaa aliniingia na gia hii huwezi amini[emoji1787][emoji1787]

Napewa dola yan nahongwa balaa, si nikasema danga ndo hili[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...

Mara ghafla kumbe ile kazi alivyokuwa anafanya na cheo kikubwa kampuni flan maarufu hapa bongo alikuwa anaact yaan anafundishwa kazi, mara akatemeshwa mzigo,akarudi kitaa weee nilikoma[emoji848][emoji848]

Nilikuwa napewaa business proposal za kuinvest almanusura niingie king, nilkuja kushtuka baada ya kumpa kahela kakubwa kidogo kamsaidie kipindi hiki kigumu, ndo akaona ohoo kumbe huyu fwala ana hela eeh afwaaa sasa!

All in all I thank God nilimstukia kabla sijaumia vibaya,[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Sasa hivi naulizwa mbona Wity unanikwepa? Hahahaha
 
Tamaa zenu tu. Ukishirikisha ubongo unajua huyu tapeli
Very true lakini mwanzoni ni ngumu nafaka haki tena labda Mungu akuokoe[emoji848]

Na zaidi zaidi hasa kama umependa weee hustuki[emoji1787][emoji28]
 
Very true....Kuna jamaa aliniingia na gia hii huwezi amini[emoji1787][emoji1787]

Napewa dola yan nahongwa balaa, si nikasema danga ndo hili[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...

Mara ghafla kumbe ile kazi alivyokuwa anafanya na cheo kikubwa kampuni flan maarufu hapa bongo alikuwa anaact yaan anafundishwa kazi, mara akatemeshwa mzigo,akarudi kitaa weee nilikoma[emoji848][emoji848]

Nilikuwa napewaa business proposal za kuinvest almanusura niingie king, nilkuja kushtuka baada ya kumpa kahela kakubwa kidogo kamsaidie kipindi hiki kigumu, ndo akaona ohoo kumbe ana hela afwaaa sasa!

All ni all I thank God nilimstukia kabla sijaumia vibaya,[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Sasa hivi naulizwa mbona Wity unanikwepa? Hahahaha
Huenda hata hiyo kazi haikuwepo maana wakianza kukupiga uwa wanakwambia kafukuzwa kazi au kama mfanyabiashara mzigo umekamatwa anataka ela ya kuutoa.
 
Atakuwa labda alimfanya apige ela ya watu maana wale hawana huruma kabisa na litakalokupata. Kama wanapeleja madada zao kuwauza thailand na india unategemea nini
Hahahaha...wapopo wamepinda
 
Kwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?

Duuuh atakuwa alimfanyia kitu kibaya sana mweeh

Yes aliacha, inavyoonekana jamaa alimuaminisha life litakuwa zuri zaidi ya alivyokuwa akiishi
 
Very true lakini mwanzoni ni ngumu nafaka haki tena labda Mungu akuokoe[emoji848]

Na zaidi zaidi hasa kama umependa weee hustuki[emoji1787][emoji28]
Wanajua kuonyesha upendo ambao hamuupati kwa wabongo.
Wana wactia mnahisi mnapendwa
 
Huenda hata hiyo kazi haikuwepo maana wakianza kukupiga uwa wanakwambia kafukuzwa kazi au kama mfanyabiashara mzigo umekamatwa anataka ela ya kuutoa.
Kazi ilikuwepo sio mbali napofanyia mi kazi na yy...na huwa nawainvoice end of the month...

Ila sasa ni muongo halafu ni tapeli la kutupwa[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Wanajua kuonyesha upendo ambao hamuupati kwa wabongo.
Wana wactia mnahisi mnapendwa
Tena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom