Wanawatumia kwenye madawa ya kulevya au?Wale wanawapiga madada zetu hapa.
Mpopo mara nyingi akimuoa mbongo there is always a motive behind.
Hawana huruma yani anaweza mwaribia mdada maisha kabisa akamtoa kwenye reli hajali hata.
Kuna mmoja hapo niko naye alipigwa akazalishwa na kutelekezwa
Ina maana alipigwa hela au?
Duuuh si kama yule mtengeza shepu...poshqueen yule mpopo haonekani na kamzalisha kalala mbele na yy alilipa mahari tuu[emoji848][emoji848]Hapana wanawapiga ela. Hadi mahali wanawatolea hata kwao wanawapeleka halafu wanawapga na kutambaa wanawaachia vumbi
Hata Jide lazima yule mpopo macho kurembua alimpiga tukioHapana wanawapiga ela. Hadi mahali wanawatolea hata kwao wanawapeleka halafu wanawapga na kutambaa wanawaachia vumbi
Mpopo uwa anawekeza. Akiona anaweza pata million 60 kutoka kwako, basi atawekeza hata 20.Duuuh si kama yule mtengeza shepu...poshqueen yule mpopo haonekani na kamzalisha kalala mbele na yy alilipa mahari tuu[emoji848][emoji848]
Kwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?Hajawahi simulia exactly kilichomkuta, ila aliporudi alikuwa raia wa kawaida life la kukwea daladala, yupo depressed, kutwa kushinda church
Atakuwa labda alimfanya apige ela ya watu maana wale hawana huruma kabisa na litakalokupata. Kama wanapeleja madada zao kuwauza thailand na india unategemea niniKwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?
Duuuh atakuwa alimfanyia kitu kibaya sana mweeh
Very true....Kuna jamaa aliniingia na gia hii huwezi amini[emoji1787][emoji1787]Mpopo uwa anawekeza. Akiona anaweza pata million 60 kutoka kwako, basi atawekeza hata 20.
Mfano atakununulia gari akuspoil. Hata kama hiyo pesa huna cash lakini anajua kuwa unaweza chukua mkopo atafanya hivyo.
Baadae atakuja na proposal ambayo huwezi ikataa ukizingatia ushamwamini
Very true lakini mwanzoni ni ngumu nafaka haki tena labda Mungu akuokoe[emoji848]Tamaa zenu tu. Ukishirikisha ubongo unajua huyu tapeli
Huenda hata hiyo kazi haikuwepo maana wakianza kukupiga uwa wanakwambia kafukuzwa kazi au kama mfanyabiashara mzigo umekamatwa anataka ela ya kuutoa.Very true....Kuna jamaa aliniingia na gia hii huwezi amini[emoji1787][emoji1787]
Napewa dola yan nahongwa balaa, si nikasema danga ndo hili[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...
Mara ghafla kumbe ile kazi alivyokuwa anafanya na cheo kikubwa kampuni flan maarufu hapa bongo alikuwa anaact yaan anafundishwa kazi, mara akatemeshwa mzigo,akarudi kitaa weee nilikoma[emoji848][emoji848]
Nilikuwa napewaa business proposal za kuinvest almanusura niingie king, nilkuja kushtuka baada ya kumpa kahela kakubwa kidogo kamsaidie kipindi hiki kigumu, ndo akaona ohoo kumbe ana hela afwaaa sasa!
All ni all I thank God nilimstukia kabla sijaumia vibaya,[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Sasa hivi naulizwa mbona Wity unanikwepa? Hahahaha
Hahahaha...wapopo wamepindaAtakuwa labda alimfanya apige ela ya watu maana wale hawana huruma kabisa na litakalokupata. Kama wanapeleja madada zao kuwauza thailand na india unategemea nini
Kwahiyo alivyoolewa aliacha kazi UN eti?
Duuuh atakuwa alimfanyia kitu kibaya sana mweeh
Wanajua kuonyesha upendo ambao hamuupati kwa wabongo.Very true lakini mwanzoni ni ngumu nafaka haki tena labda Mungu akuokoe[emoji848]
Na zaidi zaidi hasa kama umependa weee hustuki[emoji1787][emoji28]
Kazi ilikuwepo sio mbali napofanyia mi kazi na yy...na huwa nawainvoice end of the month...Huenda hata hiyo kazi haikuwepo maana wakianza kukupiga uwa wanakwambia kafukuzwa kazi au kama mfanyabiashara mzigo umekamatwa anataka ela ya kuutoa.
Tena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Wanajua kuonyesha upendo ambao hamuupati kwa wabongo.
Wana wactia mnahisi mnapendwa