feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
PoleAsee ningeumia vibaya maana nilianza kumuamini walah[emoji848]
Kilichoniokoa kuna siku nilimwambia twende kwenye hiyo business ambayo nikitoa mi milioni 5 after 3 weeks tunapata 10m...I want to see with my naked eyes[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo zilianza chenga nyingi mara ooh opportunities ziko nyingi sio lazima hiyo tu, kesho yake nikapigwa proposal nyingine hapo ndo akili ilianza kucharge[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikimbia sikugeuka nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi almanusura niolewe na ndoa kabisa
Sema nilikuwa kama nimestuka lakini sasa nashindwa pa kumkamatia vizuri
Yaani ile unakuwa na mtu halafu kuna kama red flags unaziona lakini huelewi elewi