Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Matapeli ni watu smart sana sana. Yani anakufanya unatoa pesa mwenyewe bila kushikiwa bunduki baadae unakuja jiona mjinga na signs zote zilikuwa wazi lakini hukushtuka.
 
Hata Jide lazima yule mpopo macho kurembua alimpiga tukio

Wanawake tunapitia mengi[emoji848]
Dada kila weekend alikuwa anamfuata mwamba Naija alafu hotel nyota 3 gharama za dada.

Dada akaona yahoo boy hana nia njema. Kuna wale wazee wa Good morning hata jioni, hao wanadeal na walimu na manesi. Jiulize kwanini...
 
Pole
Mimi almanusura niolewe na ndoa kabisa
Sema nilikuwa kama nimestuka lakini sasa nashindwa pa kumkamatia vizuri
Yaani ile unakuwa na mtu halafu kuna kama red flags unaziona lakini huelewi elewi
Kitu gani kinakufanye upate red flags?

Wasiwasi ndo akili
 
Matapeli ni watu smart sana sana. Yani anakufanya unatoa pesa mwenyewe bila kushikiwa bunduki baadae unakuja jiona mjinga na signs zote zilikuwa wazi lakini hukushtuka.
Sema kibongobongo hawajawekeza sana.
Wanapiga hela ndogondogo sijaskia ishu kubwa za kitapeli, au zipo mimi ndo sijui??
 
Wanapiga ela hata USD 250000 na wanatumia inaisha. Akimaliza deal hili yuko kwenye next deal
Aiseee...labda ndo maana niliambiwa ntajengewa a mansion [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Manina kumbe natengenezwa
 
Sema kibongobongo hawajawekeza sana.
Wanapiga hela ndogondogo sijaskia ishu kubwa za kitapeli, au zipo mimi ndo sijui??
Zipo mkuu sema wanapga wazungu hawa akina papaa mwana flani wanapiga ela nyingi kinoma
 
Hata hiyo imeongelea from the scratching point na ilikuwa sponsored na viongozi ila ilivyokuwa hatari na uchaguzi ulivyoisha amani ikapatikana. Ikabidi wauawe.

Aiseeh mfatilie huyo jamaa vipindi anaitwa Ross Kemp.... ni hatari mkuu. Inatufundisha namna ya kujua uhalisia wa vitu.
 
Hela akipata zinaishia kwenye kujiweka vizuri ili watu waamini kwamba yupo vizuri na lazima aishi kwa gharama ili maintain status
Asee anateseka sana basi mweeh [emoji848]
 
Aiseee...labda ndo maana niliambiwa ntajengewa a mansion [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Manina kumbe natengenezwa
Sema wanawake wengine mna roho kuna mwanamke anajua kabisa mme wake ni tapeli na hana shida na alijua hata kabla hajaolewa
 
Umenichekesha na kunikumbusha ambapo nilikoswakoswa na QNET 2018 baada ya kuwa na M 3.6 nikapungukiwa kilo 9 ili ninunue saa kwenye hiyo kampuni niingie rasmi.

Kilichoniaminisha zaidi kuna Swahiba wangu flani alikuwa anatokea mkoa X akiwa na gari Spacio rangi X mpya alikuwa ni mfanyakazi wa taasisi X ya serikalini akinipitia home Dar kunipeleka SINZA na MAKUMBUSHO kusomea hiyo biashara na kuoneshwa mafanikio tele ya Watu waliokuwa wameacha kazi na wasomi sababu tu ya QNET.

Mungu aliniwezesha sana maana mpaka sasa yule Rafiki yangu aliuza gari, nyumba na bado hana uelekeo wa maisha zaidi ya kuwa na ukata tu kimaisha [emoji24]
 
Aisee ntaitafta leo. Unachoona na uhalisia wa mambo mara nyingi ni tofauti.
 
Behaviorist hapa hachomoki kamwe sababu tu ya chura [emoji1]
 
Trafficked with Mariana Van Zeller.

Huyu journalist ni mwanamke na nusu.
 
Una bahati mimi hao jamaa walinitaftaga nikiwa nakaribia kumaliza shule wakaniambia kuna sijui kazi. Nikawambia siko dar wakasema nisijali nikija niende. Hilo likanishtua yani kazi gani ambayo inanisubiri mimi hata mwezi. Nikaanza fanya research ndo nikaja gundua hawa sio.
Mkuu una bahati sana
 
Witty ulikuwa unabutuliwa lile dochi haswa kama mpira zaidi ya mnazi....shukuru Mungu San, na hivi wadada mnavyopenda to be spoiled waona mwamba si ndo huyu na caption kibao....
Hahaha mkuu mbavu zangu...

Nilikuwa napewa dola naenda kudolishia mashost job

Sasa hivi nikiulizwa jamaa yuko wapi mbona hatumuoni nawambia kasafiri naona aibu sanaa asee[emoji26][emoji26][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…