Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Kwa mtizamo wako unafikiri kwamba hakuna mahali pengine Chadema wanafanya mikutano mpaka lissu awepo? Mikutano wanayofanya CCM hata Chadema inafanyika. Kaa kwa kutulia alafu uje hata 29 oct usimulie vizuri kuanguka kwenu katika uchaguzi mkuu 2020.
Jiwe ataandika historia mpya ya kuangukiwa na jumba bovu la ccm
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Dysentery na kipindupindu kama yote.
 
Wewe jiandae kuhamia kwenu Burundi
 
Wewe ni chizi, mfanyabiashara gani atapiga kura kwa jiwe? Nipe mfano
 
Kufanya matendo ya kupiga watu kipindi hiki ni ngumu sana.

Maana umaarufu wa kuipiga Corona umetufanya kila mtu atutazame kwa jicho la tatu na tupo mtegoni.
Wahusika wenyewe wanalijua hilo.

Ila baada ya kipindi hiki kupigwa na vijembe vitarudi tu pale pale.

Labda uwe mtoto mdogo ukiacha mapenzi na mvuto wa pande yoyote ile.

Sasa hivi ni dhihaka na kejeli tu ndizo zinatanda.

Wanaachi wataamua kwa kila hatua hakuna haja ya kuwalazimisha maamuzi yao.
 
Ndio maana wamenuna
 
Nasikia unalaumiwa na wenzako kwa kukosea sana shabaha pale dodoma, hivi ulikoseaje?
Hizo story hazileti ugali mezani....
Kila familia ikianza kuelezea kifo cha ndugu yake si balaa??
 
Mkuu mpaka sasa bado sijatoa mchango wangu, nipe namba tafadhali hawa fisiemu wanazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…