Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Mkuu mpaka sasa bado sijatoa mchango wangu, nipe namba tafadhali hawa fisiemu wanazingua
 
Jamaa anasema wananchi ni maskin , mmeachwa na JPM kwenye umaskin mkubwa , alaf badae anapitisha bakuli kuwaomba hao maskini wamchangie , ana dharau Sana huyu mwamba
Ha ha ha yaani ni balaa
 
Asipoishia njiani tutakuadhibu kadri tunavyoona inafaa
 
Hakuna mtu wa kumakamata huyo mtu wenu ndio maana unaona alipofika tu akaanza kuhangaika akamatwe ili yule beberu wake apate cha kusema.
[emoji3][emoji3][emoji3]

Serikali iko busy kuhudumia wananchi wenye uhitaji na na wale wanaovunja sheria.
Sio kumkamata Tundu bila sababu
 
Hawa ndio wana mpango wa kusamehe kodi kweli???
Hela sio yako, yakuwashia nini, wewe kaendelee kukusanya michango toka kwa wafanya biashara sisi tuache kabisaaa
 
Sema kwa nini mnachangisha masikini wakati manasema wamechoshwa na serikali badala ya nyie kuwagaiwa wao pesa?
 
Sema kwa nini mnachangisha masikini wakati manasema wamechoshwa na serikali badala ya nyie kuwagaiwa wao pesa?
Huwa sijibu upuuzi kama huu, hata mtoto wa grad one anaelewa kwa nini chandema wanachangisha hela...safari ya mabadiliko kuiondoa serikali dhalimu madarakani, kila mwananchi mwenye nia anaichangia

Nenda lumumba kachukue buku saba zako tena zimetoka kwenye kodi zetu, tunawalipa kodi inatosha, tuacheni tuwachangie chadema
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…