Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

Nani uyo anasema hakuna Mungu.wakati mwili wake tu unaonyesha kuna injinia aliufanya ukawa ivyo.mtu nywele zinaota kichwa husikii maumivu yoyote,unakunja vidole vya mikono nakuvikunjua bila kuona mechanizim yoyote kubwa ikifanyika kufanya ayo,unakula chakula unaenda haja,michakato yote inayofanyika tumboni inajisimamia yenyewe.hii yote inaonyesha kuna injinia aliyefanya ayo na ili kuonyesha kua uyo injinia sio wa mchezomchezo nayeye ndiye mwenye mamlaka yote akatengeneza kitu kinaitwa KIFO,hapo ndo mwisho wa habari.sasa leo mtu aje akwambie hakuna Mungu.
 
Mwanadamu anapokuwa ndio msemaji wa mungu ndio lazima hayo yatokee.
kwanni Mungu amuache mwanaadamu amsemee wakati "" alisema kuwa nikiumbe dhaifu"....aoni kuwa udhaifu walionao kisha akawapa nafasi ya kumsemea itakuwa ni sababu ya mkanganyiko mkubwa mno baina ya wao kwa wao ""..je tukisema kuwa atakuwa anawaonea watu " atakao kuja kuwachoma moto tutakuwa tuna kosea "".... Maana kuna wengine hujikuta wanatenda dhambi kwa sbbu ya hizo contradiction zilizopo "",....
 
Mwenyezi Mungu ni MMOJA Tu ...Mungu wa Ibrahim ndo huyo huyo wa ulimwengu mzima na vilivyomo na hana mshirika katika ufalme wake.
 

maneno mazuri the ila kuwaambia watu wasiokubaliana na ww awana akili basi ww ni guchipu
 
Mimi namsapoti mungu kuhusu kutupiga kiberiti sisi ni dhaifu lakini ni hatari sana, wacha tupigwe kiberiti.
 
Mimi namsapoti mungu kuhusu kutupiga kiberiti sisi ni dhaifu lakini ni hatari sana wacha tupigwe kiberiti.
hahaha ...Lakini haujajibu swali mkuu""....daaahh
 
maneno mazuri the ila kuwaambia watu wasiokubaliana na ww awana akili basi ww ni guchipu
Mfano ni nchi ya Urussi wakati wa Ukomunisti,raia wengi walikuwa ni machizi kwa sababu ya kumkana mungu.
 
hahaha ...Lakini haujajibu swali mkuu""....daaahh
Mungu alituletea mitume ndio wawe wawakilishi wake kulikuwa hakuna shida yoyote baada ya mitume ndio mikono ikatiwa kwenye vitabu na kuchinjana kukaanzia hapo.
 
So wewe kukosa maswali ya majibu yako ndo unaamin kwamba ni mungu ,
 
So wewe imani yako mpaka uone mtu akimsema mungu anakufa au anakutana na mabalaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
What a weak faith
 
Mwanadamu anapokuwa ndio msemaji wa mungu ndio lazima hayo yatokee.
Yap unaweza kusema mungu yupo au hayupo for the same reasons hakuna aliyekua na uhakika
Lakin si huyu Wa kwenye mavitabu ambao binadamu wanamsimulia
 
You nailed it
 
Kwahiyo wote wanaokiri uwepo wa mungu hawana matatizo ya akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…