Naaam "" kweli kabisa...baada ya hapo ndio wakaanza kuchakachua kwajili ya maslahi yao ya kiutawala"" sass kama hivyo ndivyo basi niwazi kwamba ""...,binaadamu tuna kazi kubwa sana ",...Mungu alituletea mitume ndio wawe wawakilishi wake kulikuwa hakuna shida yoyote baada ya mitume ndio mikono ikatiwa kwenye vitabu na kuchinjana kukaanzia hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Contrary tupu kwenye mavitabu
Umekita penyewe haswa! god bless you.kiutawala
Asante chief ""... swaumu iwe njema mno kwako ""...Umekita penyewe haswa! god bless you.
Nawe pia.Asante chief ""... swaumu iwe njema mno kwako ""...
Matatizo ya akili ya kurogwA na yasio ya kurogwa yakoje???Wanayo ya kurogwa rogwa tu sio ya UCHIZI.
We tueleze tu unachokifahamu mkuu maswali ya nini? Toe hoja/elimu watu wajifunze na kuelewa.Unafahamu "logical non sequitur" ni nini?
Ya kurogwa ni yale yanatibika kwa kutumia tiba za kidiniMatatizo ya akili ya kurogwA na yasio ya kurogwa yakoje???
Thibirisha wewe kwanza uwepo wa hiyo pumzi unayopumua.Kama imekubali yupo ithibitishie jf uwepo wake
Alikuwa CHIZI.Karl Max
Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?Ya kurogwa ni yale yanatibika kwa kutumia tiba za kidini
Ya wasioamini chochote ndio ukisikia WAZIMU Schizophrenia paranoid.
Hapana, Allah sio Jesus. Na tambua kuwa neno "ALLAH" ni kwalugha ya kiarabu tu ila kiswahili ni Mungu. Kama unavyosema jesus/yesu.Hivi Allah ndo Jesus?
Huo ni mtazamo wako sidhani kama muuliza swali alikua na wazo hilo.Nikijibu huu uzi utafanywa muhadhara wa dini,hapatatosha humu.
Kaka mimi sifahamu embu nipe faida.Unafahamu "logical non sequitur" ni nini?
Hapo sasaSawa umetafakari vizuri, muumba wa vyote yupo, kama maisha yapo baada ya kifo, tutamfikia kwa kutumia imani gani? Ukristu kuna mgawanyiko mkubwa na islamu kuna aina mbili, nishauri nitumie imani gani? Lakini uliposema wasioamini wana upeo mdogo, akina Karl Max walikua na upeo mdogo? Naona wanaotumia reason zaidi kuliko faith wana upeo mpana zaidi.
Kwanini wasirogeke kaka ? Waamini wa Mola huwa wanapewa mitihani ili kuthibiti katika imani zao juu ya Mola wao.Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?
Ndio maana ukifatilia habari za mitume na manabii wa kweli walikuwa wanapewa mitihani mizito sana kuliko kuliko binadamu wa kawaida.Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?