Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

Kwani ndugu zetu huwa mnatumia akili kwenye kufikiri au mnatumia makalio,,,,???

Sasa hapo yesu anahusika vipi, maana waisraeli ni mayahudi na ndio walikuwa mstari wa mbele kutaka kumuua yesu, then leo wewe mfuasi wa yesu unawashabikia na kuwafurahia maadui wa mwokozi wako (yesu) are you serious,,,????

Kwa taarifa tu ni kuwa Israel ni nchi ya wayahudi, na waislamu huku minority community yao ndio wakristo ambao wanateseka zaidi kuliko waislamu.

Muda mwingine msidanganywe kijinga hivyo kuwa Israel ni taifa teule, wakati yesu mwenyewe kazaliwa Israel na kakulia huko.

Wajanja wanakupigeni pakubwa sana kutokana na ujinga wenu.
 
Hamasi wanatafuta huruma, kwa kitumia watoto kama ngao, dhidi ya adui asiye jari utu,ila utaifa.

Ukimjua adui yako anajari utaifa kuliko ubinadamu, usimutumie binadmu katk kumzuia kupigania utaifa wake Italia kilio kikuu na hakuna wa kukuhurumiaaa

Israeli na hamasi wote wanabeba hatia hii
 
Halafu hao mateka wa Kiyahudi wakafika vipi mikononi mwa magaidi na kufichwa kwenye mashimo ya Hamas?
 
Wadhani nakuuliza kwakutokujua?

Mwalimu anatunga swali kwa jambo asilolijua?

Jisahihishe na uandishi wako mbovu.
Hata ungekuwa unatumia redio ya mbao, usingeuliza haya maswali
Haya rudia kusoma ulichoandika, kama umejielewa ndio urudi kujibu
 
Usimtaje yesu ukiwaongelea hao mashetani Israel
Watanzania ni wajinga sana sijui hiyo dhana ya kuwatukuza wayahudi wanafundishwa wapi .unakuta mtu anadi ukimbariki Israeli na ww unabarikiwa laikin ukikutana naye amepauka kam mhogo wa jang'ombe
 
We kweli Fala Hamasi aliwaweka matekwa hao sehemu ile kwa ajili wapate.kuhudumiwa vizuri kwa chakula na health care.

S a umemsikia Abu Obaida anasema nini watawaweka kwenye mazingara si mazuri sasa yani kama walipewa wali na nyama sa watapewa samaki za makopo. na watajipikia
 
Wewe ukapimwe akili... Hao mateka walifakaje Gaza Kwanza...

Sometimes kuna Watu mnaongea kama hamna ubongo...

Yaani umteke mtu alafu useme unaenda kumuweka sehemu salama.
 
Hilo swali ni zuri ungwauliza wafia dini kuna faida gani kuendelea kuwashikilia mateka 124 huku israel inaendelea kuwaua wapalestina wengi na hamas kama kuku huku mkimtegemea Allah hata hawasaidii kila vita mnapigwa
Hata wao waisrael wakati wanachomwa na hitler mungu huyu huyu allah alikuwepo ila hufanya kila kitu kwa wakati wake bila ya kupangiwa na mtu, muda ni mwalimu mzuri sana
 
Israel sio wajinga kama Hamas na Wapalestina, mtu unaenda kukaa na mateka kwako alafu ukiuliwa au nyumba yako ikibomolewa unalia, are you crazy?

Leo Ndio siku nimeona Pro-palastine wengi akili ni zero
Dunia nzima sasahivi ni pro palestine ukiacha wakristo wachache mambumbumbu wa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…