Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wale magaidi walioua ndugu zetu Joshua na Mollel huku wakiimba Takbiiir ni wakiristo sio?BBC wanasema wameonekana wakiwa na afya njema, hata mchubuko hawana. wamekaa nusu mwaka. huo ndio uislam na waislam wanavyowafanyia wasiokuwa waislam. wakiristo wakiwateka waislam basi hapo wakitoka masikio hawana au macho
Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?Taarifa zinasema kati ya magaidi 80 wa hamas waliouawa yupo Mastermind Mohamed Deif gaidi 3 wa hamas naye ameuawa kwenye operation ya kuokoa mateka
Acha kupotoshaWewe mbona upo nyuma ya taarifa. Wanajeshi wa marekani waliopo pwani ya Gaza ndo wamefanya hilo tukio na kuwaua raia zaidi ya 200 hata hivyo muda si mrefu majibu watayapata kwa walichokofanya.
Wewe mbona upo nyuma ya taarifa. Wanajeshi wa marekani waliopo pwani ya Gaza ndo wamefanya hilo tukio na kuwaua raia zaidi ya 200 hata hivyo muda si mrefu majibu watayapata kwa walichokofanya.
Sasa unabisha nini wakati wakazi jirani na hapo wanasema kulikuwa na mashambulizi makali eneo hilo ya ndege na wanajeshi wa israel nakupelekea raia 210 kuuawa na magaidi 80Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?
Alafu lini Deif akawa na uwezo wa kushiriki mapigano hali yakuwa ni mlemavu?
Umesahau kuna kipindi Hamas walisha waachia mateka 3 na kuwaelekeza wanajeshi wa Israel walipo baada ya kufika wakawauwa kwa kuwapiga risasi?
Hao mateka wenyewe wameoneshwa wakiwa wasafi utadhani walikuwa wanaishi hotel ya nyota 5.
Kwao ni habari mbaya sana.Wale Washabiki wa Magaidi wa Hamas watakuja kubisha.
Hao ndugu zako Hamas wangekuwa ni vidume vya mbengu. Wangekaa pale mpaka mwa Gaza na Rafah kuwazuia jeshi la Israel kutoingia.Katika akili za kawaida Hamas atatumia wapiganaji 80 kwa ajili ya kuwalinda mateka 4 tena sehumu moja?
Alafu lini Deif akawa na uwezo wa kushiriki mapigano hali yakuwa ni mlemavu?
Umesahau kuna kipindi Hamas walisha waachia mateka 3 na kuwaelekeza wanajeshi wa Israel walipo baada ya kufika wakawauwa kwa kuwapiga risasi?
Hao mateka wenyewe wameoneshwa wakiwa wasafi utadhani walikuwa wanaishi hotel ya nyota 5.
Hawajaachiliwa wewe wakazi wa karibu na eneo hilo wanasema kulikuwa na mashambulizi makali ya ndege za israel na wanajeshi wa israel magaidi wamepigwa mpaka wamekimbia wengine na wengine kuuawa wakawasahau matekaHuu ndo ukweli ila wanavyojigamba sasa hawajamaa wameachiwq tu pengine kutokana na afya zao ..na ni bahati jamaa hawakuwamiminia risasi kama kawida yao
Duuh kama huyo jamaa kafa ni jambo njema mno.Taarifa zinasema kati ya magaidi 80 wa hamas waliouawa yupo Mastermind Mohamed Deif gaidi 3 wa hamas naye ameuawa kwenye operation ya kuokoa mateka
Sasa inabidi ujiulize ni akili gani waliitumia HAMAS kuwaficha matela katika eneo lenye raia wengi.Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
Ukificha mateka kwenye raia.....lazimamadhara yatawakuta raia....risasi hazina macho.Sijui ni akili gani inatumika, labda ya kishetani, unaokoa watu 4 unauwa 100 na watoto wadogo. Ni uuuuuuuungwana?
wameonekana hata mchubuko hawana.aislam wakitekwa na wakiristo wakitoka masikio hawana, chuki yao inaonekana kubwa sana ktk miyo yaoWale Washabiki wa Magaidi wa Hamas watakuja kubisha.
Jee Kama walikuwa katika vita ?Wale magaidi walioua ndugu zetu Joshua na Mollel huku wakiimba Takbiiir ni wakiristo sio?
Hiyo nakupa ya uhakika. Wanajifanya wamejenga bandari ya kupokea misaada kumbe wanaitumia kuuwa wapalestina.Acha kupotosha
Upo wapi wewe mambo yote hadharani. Hiyo bandari ya kupokelea misaada ni kichaka cha wanajeshi wa marekani kuisaidia israeli kuendesha operation za kipumbavu kama hii unaua watu 150 kuokoa watu wanne. Very unprofessional😂🤣🤣🤣🤣🤣 unajua propaganda kama TAREK WAZIR WA HABARI WA IRAQ ENZI ZA SADAMM HUSSEIN