Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

So Hilo tu Bali Masheikh wao wanalia kuwa Waislam wanauacha uislam

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1799461446126014563
 
Wewe mbona upo nyuma ya taarifa. Wanajeshi wa marekani waliopo pwani ya Gaza ndo wamefanya hilo tukio na kuwaua raia zaidi ya 200 hata hivyo muda si mrefu majibu watayapata kwa walichokofanya.
Wawagonge tu magaidi hao. Kama kutumia human shield wanadhan itawaidia Israel iwagonge tu. Vita haina macho. Kama wanawapenda watu wao wasiende kujificha ndani yao mbwao hao.
 
Danguro unalijua wew hao wote tunaozeshwa na kwa halali kabisa na Mwenyezi Mungu wewe nenda kaimbe mbinguni ndicho ulicho ahidiwa
Mnaenda kuozeshwa? Na kuogelea kwenye pombe? Na mademu 70?🀣🀣🀣 Nami kwa ahadi hizo acha nikichoka nikajitoe mhanga
 
Majibu gani we mvaa kobazi,alla kawaacha mkufe anasubiri akawape bikra au we hutaki kwenda kwenye danguro la ala

Wewe mvaa pampers hutokufa ??

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani mkuu upo dunia ya wapi? Tatizo la kuwa unatazama tv za miziki/maigizo ndio hii!! Ungekuwa mtazamaji wa tv za habari za kimataifa usingeuliza hili
 
Wajinga hawa Israel kauwa matekwa wake 4 kwa kukomboa matekwa 4 wamekufa askari zake 10 mmoja wao ni officer afu wanadai eti wamefanya kitu cha mana sana wameuwa karibu raia 150 wasio na hatia pale sokoni.

Abu Obeida kawambia hao matekwa wenu sasa mmewaweka kwenye hatari na jeshi la Israel sa ivi wamekiri si rahisi kufanya operation kama hi tena.

America sijui sa atakuja na gear ipi tena hio ya kujidai kupeleka msada Hamasi hawata waruhusu sasa.
 
Kuna video yoyote inayoonyesha wakiwa wanawaokoa? Kama hakuna video yoyote inayoonyesha uhokoaji, basi mimi nitakuwa wa mwisho kuamini jambo hilo
Uokoaji wake, umeua zaidi ya Wapalestina 200!!na mwanajeshi mmoja tu wa Israeli!! Kilikuwa ni kichapo kizito zaidi tangu vita ianze.
 
Mnaenda kuozeshwa? Na kuogelea kwenye pombe? Na mademu 70?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nami kwa ahadi hizo acha nikichoka nikajitoe mhanga
Usilazimishe mimi nilichoahidiwa nikione kibaya nani anataka aende mbinguni kuimba tuuu? Yaani duniani nikose starehe ya pombe na mbinguni tena nikaikose aaah hilo lenu jamn kila mtu achague pepo yake anaina nzuri
 
Nakukumbusha Mkuu kuwa Israeli sio wakristo. Wao ni wayahudi(Jew) na dini yao ni ya kiyahudi (Jewish). Ujue tuu kuwa waislamu ni wengi zaid Israeli baada ya wayahudi, huku wakristo wakiwa wachache zaid. Sioni haja ya kutumia mlengo wa kidini Katika kuizungumzia vita hii. Maana ipo Zais kisiasa kuliko kidini. Wito wangu ni kuwa watu mtafute maarifa itasaidia kupunguza ushabiki hewa.
 

Attachments

  • pf_16.03.08_israelsurveyoverviewgroups.png
    31.3 KB · Views: 1
Ulilazimishwa kuleta uzi!? Ndo mwandiko gani huu!? Next time kama huna chakuandika kausha tu.
 
Wewe huwezi kuishughulisha akili ?
Nini maana ya kuwa binadamu ?
Kitu kidogo kama hiki unatoa povu upewe taarifa kamili ?
Kweli unaweza kusoma vyuo vya kimataifa kama Open Univesity ambako hakuna mwalimu na chaki ubaoni?
Jibu ulichoulizwa, achwa kubwabwaja!
 
Uislam kuwa kwenye vichwa vya ma punguani ndo jambo la kulaumiwa.HAMAS ndio chanzo cha yote
 
Usilazimishe mimi nilichoahidiwa nikione kibaya nani anataka aende mbinguni kuimba tuuu? Yaani duniani nikose starehe ya pombe na mbinguni tena nikaikose aaah hilo lenu jamn kila mtu achague pepo yake anaina nzuri
Mbona sijasema kibaya? Nimesema hongera ahera mtakuwa mnaparty sana. MITUNGI NA MIKASI TU. 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…