Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Ukosoaji wa Mdude ulikuwa unatoa hasira sana,akitoka ajirekebishe,wahusika Kama mnapitia uzi huu mwachieni Mdude adhabu aliyopewa inatosha.
 
Uyo ajapigwa,anatembea na anaongea vizuri na bado anatambua watu,nasisitiza uyo ajapigwa,hizi ni porojo tu.
Kuna mgombea wa jiji la Mwanza anadaiwa pesa na mawakala wake,huu ni mkakati mpya wa kukusanya fedha za kulipa madeni kampeni zake za 2020.
Wewe jini unajua babako wa chattle sasa hivi yuko wapi? You are next!!
 
halafu jitu linakuja hapa kudai eti Jpm alikuwa mcha Mungu ???!!!
 
Wakati Mdude akiteswa na Shujaa wa Mazezeta jela huku uraiani akina Sabaya nao walikuwa wakiwatesa watu bila sababu

Na TRA ya kijeshi nayo ilikuwa ikiwaonea Watanzania kwa Amri kutoka juu


Baada ya Mtukufu YAHWE kutenda yake sasa wanakuja wabunge wa kuteuliwa na Shujaa wa Mazezeta na kunena haya👇
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli Maisha yanakupa unachokitaka...mwenyekiti juzi katua kutoka Dubai mwanaharakati wake yuko nyuma ya kuta za ngome.

Bora mwenyekiti wetu Magu alikataa kwenda ulaya na marekani huko kuzulula akahaidi kukaa nasi hapa ndani mpaka kifo kinamchukua.
Uko naye kaburini?
 
We bro kila siku nakwambia ni mpumbavu. Gerezani panaruhusiwa picha? SHETANI mkubwa wewe. Watu wanateseka wewe unayafurahia Mateo yao??? Ulaaniwe
Huyo ni like son like father
 
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga.

Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe Rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Anapata alichostahili.
 
Huu uonevu unamwisho Sikh yaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…