Naona website ya NECTA ipo down. Hii shule ya kaizirege wako serious. Ukicheki tovuti yao HOME utaona namna wanavyotoa wanafunzi walio makini.
Sema huuelewi huu mfumo mpya wa kutoa matokeo ambao ni Wa GPA sio kutoa lawama tuu kwa CCM! Mfumo huu ni rahisi,fair na ni mzuri sana na huona tofauti na uliopita sema kilicho badilika ni majina tuu!ccm has proved the greatest failure in histry.
Matokeo kidato cha nne ametoka rasmi leo hii katika mfumo mpya ambapo madaraja yamepangwa kwa mfumo wa distinction,merit pass, credit na fail. Kwakweli yanaeleweka sana kuliko mfumo uliopita hongera baraza na wizara hongera JK
Invisible fanya mambo yako tuyapate matokeo kwa urahisi ikiwa ni huduma kwa jamii sio hawa maswa yetu kila kitu wanataka pesa...
Invisible fanya mambo yako tuyapate matokeo kwa urahisi ikiwa ni huduma kwa jamii sio hawa maswa yetu kila kitu wanataka pesa...
Sema huuelewi huu mfumo mpya wa kutoa matokeo ambao ni Wa GPA sio kutoa lawama tuu kwa CCM! Mfumo huu ni rahisi,fair na ni mzuri sana na huona tofauti na uliopita sema kilicho badilika ni majina tuu!
Kama uelewi jambo uliza sio kufata mkumbo wa kulaumu ...CCM
So what is the news?
unamaanisha nini
hapa utatambua watu ambao college imepita pembeni.
Kutwa kujishaua mfumo wa elimu unashuka, wakati wanashindwa kuelewa an almost universal grading system inayotumika sehemu nyingi sana duniani.
Kama hujui tofauti ya distinction na merit, hilo ni tatizo lako, muulize ndugu yako aliyefika chuo kikuu. Kama umefika chuo kikuu, hujui tofauti ya distinction na credit, waliokudahili huko walifanya kosa kubwa sana.
Kama unaamini mtu aliye na matokeo ya "pass" ataweza kuwa competitive kwenye vyuo duniani au kwenye soko la ajira, basi hujui kinachoendelea duniani.
Elimu imeshuka, ndio, lakini huwezi kulaumu necta ku-harmonise mfumo wa elimu, baada ya hapo unauliza nini maana ya gpa ya 5.0.
Unatoa vipi lawama kwa kitu usichokijua hata kidogo?
Wtf?
Weka full namba ako ya mtihani nitakuangalizia matokeo bureeee cha kufanya
Andika namba ako mfano
Snamba ya shule na namba ako ya mtihani
Koti hii text afu tuma
Mkuu bora wewe umeamua kuwasaidia wananchi bure. Big up.
wewe mimi ni uds graduate na ning gpa ya 3.7.
Usidhani tunahoji kilofa lofa...
Tunaelewa.
Gpa garading zimekuja o level ili iwe nini.?? Swali hili mbona hamjibu.