Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza


My ARGUEMENT IS BASED ON QUALITY.

DO U READ ME..!! SIR..
 
Last edited by a moderator:

nashukuru veta inanihusu
 
kama unataka kuona elimu imeshuka tumia zile grade zamani,Tanzania kichwa cha mwenda wazimu
 
i hata


hiyo ni kweli, hivi hata nchi za wenzetu wanafanya hivi kwenye matokeo ya O level
 
nadhani itakua hivi

distinction=div one
merit=div two
credit=div three
pass=div four
fail=div zero

Hakuna kitu kama hicho,yaani mpaka division three ya zamani inaingia kweye MERITS,kwa matokeo ya sasa ukilinganisha na ya zamani
 
Hivi Tanga INA tatizo gani? kwamba kati ya shule 10 za mwisho tano zote zinapatukana kwa wagosi
 
Distiction inaanzia point ngap had ngap!?

Tusaidieni tujue ili tulinganishe na sisi wa zamami.

Unaweza kuta mtu ana DIST. Kumbe enzi zile ni div 3.
kweli kabisa mimi kuna mtu ana merits ya 2.7,ukiipeleka kwa grade za zamani inakuwa three ya 23,Tanzania kichwa cha mwendawazimu
 
 
Kuna mkoa umekuwa wamwisho maana umetoa shule zaidi ya mbili kwenye kumi za mwisho sijui walikuwa wanafundisha au walikuwa wanafuatilia mahakama ya.....
 
wa kwanza mpaka wa tisa wote wakristu?...kuna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…