Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

UKINIFATA pm NAKUTUMIA UKITAKA JUKWAANI NAKUTUMIA....WHATSAP SITAKI KWAAJILI YA KWAMBA NIMESEMA SITAKI NAMBA ZA SIMU ZA WATU, KWANI MIE LENGO LANGU NI KUWASAIDIA WALE AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO WAYAPATE , NOTHING MORE.
Okay
 
Ndio ni kweli, pia jamii yenye ustawi mzuri nchini Wakristo. Hivyo unaweza ona kipi muhimu.
Ustawi gan unauzungumzia ? Utakuwa hujafanya utafiti vizuri. Nchi hii shida haichagui.
 
UKINIFATA pm NAKUTUMIA UKITAKA JUKWAANI NAKUTUMIA....WHATSAP SITAKI KWAAJILI YA KWAMBA NIMESEMA SITAKI NAMBA ZA SIMU ZA WATU, KWANI MIE LENGO LANGU NI KUWASAIDIA WALE AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO WAYAPATE , NOTHING MORE.
Poapoa
 
Ngugu MeinKempf kanisadia kunitazamia yangu, muombe tafadhali
 
UKINIFATA pm NAKUTUMIA UKITAKA JUKWAANI NAKUTUMIA....WHATSAP SITAKI KWAAJILI YA KWAMBA NIMESEMA SITAKI NAMBA ZA SIMU ZA WATU, KWANI MIE LENGO LANGU NI KUWASAIDIA WALE AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO WAYAPATE , NOTHING MORE.
Asante mkuu kwa msaada wako kwa ambao hawajaona matokeo mtumieni jina la shule na namba ya mtihani ya muhusika ili mkuu meinkempf awasaidie tafadhali
 
Ambao hamjapata matokeo muombeni Mkuu Meinkepf awatazamie, kanisaidia. Ndani ya dk 1 tu kanitumia.
 
Thanks mkuu, imefunguka kwa kasi hatari.
 
Safi Sanaa unajitaid.. Nmeshapata nnlichokua nakihitaj mapema tuuu.. Thanks mkuu
 
Ambao hamjapata matokeo muombeni Mkuu Meinkepf awatazamie, kanisaidia. Ndani ya dk 1 tu kanitumia.
Nashukuru sana mkuu.... @mods wanaweza pandisha na uzi wangu juu ili wadau waon mapema na kutuma taarifa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…