Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

ina maana vipaji maalum sikuizi hamna

maana sioni
Mzumbe
Kibaha
Ilboru
Kilakala
Msalato

hii ndo bongo bwana
Hahah
Matajiri wakubwa ni akina Bakhresa, Abood na Mohammed Dewji etc yaani waarabu tupuuu

Ila kuna Mbantu mmoja ambaye ni Reginald Mengi

Kuna Mbantu muislam katika list hiyo yakhee.....

nijibu tuendelee na barza sheikh
 
Ahsante, kwanini baraza wasitumie njia ambayo wewe umeitumia?
 
maswa kwetu nao wameibuka na ile ile ya necta mwamo tuhttp://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
BARAZA WEKA SEVRAL LINKS !!!! ACHENI KUPANDISHA PRESHA ZA WATU HAPA ( WATAHINIWA, WAZAZI, WALEZI N,K
Yani kwa kweli...preshaaaaaa
 
Tumeyaona mkuu asante sanaaaa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ila matokeo huwa habari nyingine kabisaa dogo alikuwa anajiamini atapiga "one" ila naona kalabua "three" ya 25 duuuu
 
Matajiri wakubwa ni akina Bakhresa, Abood na Mohammed Dewji etc yaani waarabu tupuuu

Ila kuna Mbantu mmoja ambaye ni Reginald Mengi

Kuna Mbantu muislam katika list hiyo yakhee.....

nijibu tuendelee na barza sheikh
Ally Mufuruki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…