Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Wakati tunasoma Mazengo Technical Secondary school enzi zile, ulikuwa unawaza hivi "'sijui nitachomoka na ONE ya ngapi!?

GOD help boys and girls of these days. Mtoto wa form one anaijua na ni member kwenye mitandao yooote ya kijamii!
Nimependa observation yako!
 
Na hii ni dalili kuwa utofauti wa walio nacho na wasio nacho utazidi kuongezeka...
Kizazi cha Saint bado hakijaanza vizuri kuingia kwenye soko la ajira na mtaani kwa ujumla...
watoto wa bush na masikini watajutra....
 
Oi niaje ajw wadau mm kwngu ki simu changu kinazingua sana so mweny laptop basi anisaidie kuangalia hii ya mdogo wangu hapa S.3278/0041
 
Hongera masista wa St. Aloysius...hii shule ni mpya kabisa..

Hongera Kanisa Katoliki...Shule zenu zimeongoza tena..
Kwa kifupi shule 6 kati ya top 10 ni za katoliki...
watu woooooooooyoooooo
Watashindana lkn hawatoshinda...
wapige majungu tena.......
TUMSIFU YESU KRISTU..
MILELE AMINA...
KRISTU ....TUMAINI LETU[emoji119]
 
Topten form two kulikuwa na Shule inaitwa TWIBHOKI mkoani Mara..lakini hapa form four sijaiona topten samahani naomba mnisaidie kaangalia matokeo yake..
 
Naomba mniangalizie ya Shule ya Paji Secondary School
 
Kwa kifupi shule 6 kati ya top 10 ni za katoliki...
watu woooooooooyoooooo
Watashindana lkn hawatoshinda...
wapige majungu tena.......
TUMSIFU YESU KRISTU..
MILELE AMINA...
KRISTU ....TUMAINI LETU[emoji119]
Nitakuletea Top 100.... Nafikiri 90%ni shule za Kanisa Katoliki..

Tumsifu Yesu Kristo
 
Duh, hiyo ya mwisho naona kama inareflect jina lake!!!!"""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…