Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

Kuna mdogo wng kapata History C, Kiswahili E na English F vipi anaweza kupata chuo?
Atapata! Cut points ni kuanzia nne, na yeye ana nne. Angalia prospectors za vyuo mbalimbali ambavyo vinaweza kumchukua Kwa ufaulu wake huo na kozi anayoweza somea.
 
chai
 
Dah Madogo siku hizi wanafaulu Kinoma Yaani 1 za kufikia tu
Shule niliyosoma hawakuvunja record ya matokeo yangu six Consecutive years ila kwa sasa naonekana kilaza mmoja alipitaga pale
C'mon necta ebu rudisheni ile mitihani tulikuwa tunasweat kweli 2007, 2012 nk.
 
Atapata! Cut points ni kuanzia nne, na yeye ana nne. Angalia prospectors za vyuo mbalimbali ambavyo vinaweza kumchukua Kwa ufaulu wake huo na kozi anayoweza somea.
Hapo hapati bora hiyo kiswahili ingekuwa D na history D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…