Bwana Ally Juma Kingomile wa Puge, Geita amepita pila kupingwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mgombea huyo aligombea kupitia CHADEMA na amepita bila kupingwa kwani ccm na vyama vingine havikusimamisha mtu kwa sababu viliamua kumsapoti bwana Ally wa chadema kwani walimuona ndiyo kiongozi wao anaowafaa.
Alipoulizwa kwanini kaamua kugombea wakati chama chake kimejitoa alijibu yeye sio chizi wala sio mbumbu kiasi cha kususia uchaguzi kwasababu za kitoto.
Alijibu "Mimi sio mpuuzi mpaka nisusie uchaguzi, wananchi wanataka niwaongoze sasa nasusaje uchaguzi? Lazima nitimize haki yangu ya kidemokrasia siwezi kususasusa hovyo. Mimi najiamini na ninazijua katibu zote yaani ya chama changu na ya taifa hivyo hakuna mtu yoyote wa kunitisha"
Mwisho wa kumnukuu.
Watu kama hawa ni wakuwafunga jiwe na kutupwa baharini kabisa