uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Hata hivyo haikutangazwa kuwa watu wasiende kupiga kura na haikuwa mgomo bali kutokushiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajuaje kuwa hapa ni Tanzania?tangu lini watoto wanapiga kura kuchagua viongozi?
View attachment 1271519
KAPIGE RAMLI NDO UTAJUA NI TANZANIATutajuaje kuwa hapa ni Tanzania?
Okay, anza ku Ramlika basi...halafu utuletee matokeo.KAPIGE RAMLI NDO UTAJUA NI TANZANIA
Tunashukuru safari hii damu zetu zimekuwa salama amjatutoa kafala wala kamatakamataKwa jinsi ninavyoona ccm imezoa kura Zaidi ya million tisa
Nembo ya Tume ya Uchaguzi huioni kwenye sanduku la kura?Tutajuaje kuwa hapa ni Tanzania?
Kuna Mwenzake Arusha watu washacheka naeKichaa dawa yake inachemka jikon
Sijui katiba na sheria za vyama vyao zinasemaje? Maana kama wameshiriki inaonesha ni usaliti kwa kuweka maslahi yao binafsi kuliko vyama vyao. Kwa kuwa vyama vyao vilisha jitoa itakuwa wamegombea kama wagombea binafsi? Je sheria ya uchaguzi inaruhusu hilo?