Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Huku sisi tayari MWENYEKITI amesubiria kupewa mhuri aanze kazi ,kila mtu ameenda kwenye uzalishaji Mali habari ya uchaguzi sijaona dalili yoyote maana wa kwetu amepita bila kupingwa
 
Baadhi ya marneo zimeandaliwa tarumbeta na ngoma za kushangilia...
 
Baada ya uchafuzi uliofanywa na watendaji wateule wanasubiri kuapishwa.Yaani mimi hapa nimelala sijui hata kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…