Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa foleni ni kubwa mno
Kinamama wanafuraha hapa kina baba wametulia
Vijana pia wapo kwa wingi mno
Nitaleta picha
Watu ni wengi kwenye foleni
Nikufanikiwa kupiga picha nitaleta
Kimara hakuna kupiga kura wagombea wote wa CCM wamepita bila kupingwa Hivyo wanasubiri kukabidhiwa Ofisi Jumanne.kanisani
Ushindi Wa kishindo kata zote watuMwenye update yeyote ya uchaguzi kinachoendelea vituoni picha na misululu ya wapiga kura tuone jinsi ccm inavyokubarika na kupendwa na wananchi wanyonge.
True ni juhudi za awamu ya tanoHuku kitaa watu hawana habari nimehoji baadhi ya watu wamama,wababa,vijana na wazee hawataki kabisa kusikia habari za uchaguzi na wengi hawajui hata vituo vya kupigia kura vipo wapi
Nawapongeza Sana watanzania kwa hili
Watu ni wengi kwenye foleni
Nikufanikiwa kupiga picha nitaleta
Mvua bosi, ikikata atapiga picha.Kipi kinakuzuia kuleta picha ..mbona ni kitendo cha dakika 1 tu mana una upload tu hapa, unless kama mlemavu wa mikono