Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mliitisha uchaguzi na mlikuwa mnafanya kampeni za nini kama ndiyo hivyo?Ambacho hamjui ni kuwa watanzania walio wengi wameridhika na serikal iliyopo ndio maana wako bize na kazi tu.
Kwa mara ya kwanza nimewakubali watanzania leo kwa msimamo waliouonyesha kwenye uchaguzi huu.Hadi CCM wenyewe wamechukizwa ujinga uliofanywa kwenye huu uchaguzi
Hapa kweli economics of scale aikutumika,huwezi chezea kodi zetu huku wakijua watapita bila kupingwaUnatumia mabilioni ya pesa kwenye uchaguzi halafu ushiriki wa watanzania wapiga kura unakuwa mdogo namna hii, hizi pesa hizi si zingefanya....
Hata wanaccm wamesusa nao tulitegemea waje wengiHii Ndio demokrasia na Amani
Wasimamizi wapo nje hawana hofu
Uongo eeeheee uongo upi angalia hapa.Acha uwongo.
Yaani dunia nzima inapiga kelele kuhusu uchafuzi wa mazingira. Kama wamepiga kura, zitahesabiwa zimeharibika endapo wamechagua kwa majina ya vyama vyao maana vilishajitoa. Na tumezoea kuchoma moto karatasi zisizokuwa na kazi, kitu ambacho ni uchafuzi wa mazingira. Halafu unaona kwamba wanajielewa?Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.
Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Kwakipindi cha sasa hakuna chama cha upinzani chenye nguvu kinachoweza kuishinda CCM , Ata wakifanya kampeni mwaka mzima.
Shida iliyopo hakuna tena watu wanaoweza kujenga hoja kama alivyokua Dr Slahaa. Yaani sasaivi wapinzani hojazao ni kupinga yale anayofanya JPM au wanasubiri kiongozi wa serikali ahutubie wao watafute makosa kwenye hotuba ili uwe hoja.

Sasa kinachowafanya muwazuie mikutano ya kisiasa ya n'je ya ndani kwa miaka minne ni nini we Pandawandigwa?.Kwakipindi cha sasa hakuna chama cha upinzani chenye nguvu kinachoweza kuishinda CCM , Ata wakifanya kampeni mwaka mzima.
Shida iliyopo hakuna tena watu wanaoweza kujenga hoja kama alivyokua Dr Slahaa. Yaani sasaivi wapinzani hojazao ni kupinga yale anayofanya JPM au wanasubiri kiongozi wa serikali ahutubie wao watafute makosa kwenye hotuba ili uwe hoja.
Acha uwongo.
Jitoe akili mkuu ili uendelee kuneemeka kwa shekel ya utawala huu,endelea ivyo ivyoWananchi tumepiga kura
Kuna wahuni wanajipa matumaini feki mitandaoni
Magufuli Amefanya Wapinzani wapuuzwe
Mkuu jifurahishe nafsi japo ukweli unaujua vzr lakini umeamua mnafiki ili umfurahishe mtakatifu wenu jiweKwakipindi cha sasa hakuna chama cha upinzani chenye nguvu kinachoweza kuishinda CCM , Ata wakifanya kampeni mwaka mzima.
Shida iliyopo hakuna tena watu wanaoweza kujenga hoja kama alivyokua Dr Slahaa. Yaani sasaivi wapinzani hojazao ni kupinga yale anayofanya JPM au wanasubiri kiongozi wa serikali ahutubie wao watafute makosa kwenye hotuba ili uwe hoja.
CCM hawajapata kujifunza wala hawatajifunza....Nchi nzima leo utafikiri kuna msiba wa kitaifa.