aiseee chacha ni bilionea??? hahahaha acheni vichekesho jamani, chacha ni masikini tuu kama wengineNdio huyohuyo mwenye tenda za kuagiza chemicals za mahospitalini na migodini na viwandani, ana viwanda pia burundi base iko geita ni bilionea mkubwa tu
EbanaeeeWilliam Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.
Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.
Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.
Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.
Huyu ni nani?13. Macha 435
Mjumbe wa lasaba oyeee!!!
Je, hawa ndiyo watakuwa Suluhu ya Mgawo wa Umeme nchini, Ugumu wa Maisha, Umasikini mkubwa na watasaidia kupunguza idadi ya Watanzania Milioni Saba ( 7,000,000 ) wenye Tatizo la Afya ya Akili / Uwendawazimu?Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Nimejaribu kutafuta holaaa😂😂😂🤣LEO HAZISIKIKI KELELE ZA UDINI 🙂 🙂 🙂
Ila huyu bingwa hana performance serikalini sina uhakika why anapeta sehemu nyingiBashungwa +ukatoliki wake. Nahisi kuna nafasi ya juu zaidi anaandaliwa.
Poa mbwaNakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".
Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.
Ni wale wale tu
Ngoja wafukua mafali na makaburi waje. Ndio utajua hao "nobody" ni watu wazito 😂😂😂
Nikikudanganya niite mbwa nimekaa pale 👉🏿👉👉 😂😆😆😆
Hivi Nyerere alisema wapi Mhaya, Mchaga n.k hawapaswi kutoa Rais?
Kuna tofauti kuubwa sana ya kuteuliwa na kuchaguliwa!!! Naishia hapa!!!Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislamTuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...www.jamiiforums.com
Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani
Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani
Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Udini unakusumbua hata data unazotoa ni za uongo.Jamaa wabinafsi sanaaa,
Na ndio mafunzo wanayofundishwa huko kanisani kwao
We jua haitatokea kamweHivi Nyerere alisema wapi Mhaya, Mchaga n.k hawapaswi kutoa Rais?
Huwa naitafta hiyo clip sjawahi ipata!
Kama nafasi 5 zaidi zisingeongezwa hadi kufikia wajumbe 20 wa Tanzania Bara kutoka CCM, wafuatao nao wangalikuwa wamepotea;Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kwa Tanzania ni bilionea,unafikiri kumiliki biashara anazomiliki ni mchezo ?aiseee chacha ni bilionea??? hahahaha acheni vichekesho jamani, chacha ni masikini tuu kama wengine
Udini unakusumbua hata data unazotoa ni za uongo.
Kwa CCM nayoijua usishangae ni kweli!! wao wanapenda wagombea incompetent Ili iwe rahisi kuiba na kumcontrol.Ana kipi Exceptional? Kwa nini mnahadaiwa kiurahisi hivyo? Huyo Bashungwa ana lipi alilowahi fanya?