HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Huyu wahuni wamekula pesa zakeMbona humuulizii vunjabei et Al?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wahuni wamekula pesa zakeMbona humuulizii vunjabei et Al?
Kwa hiyo Msukuma na Kasesela ndo wanagain Relevance? Siyo bure mkaitwa Mambuzi🤣Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Kwanza nata wote walitakiwa wawe wakristo afu waislam watatoka Zanzibar.LEO HAZISIKIKI KELELE ZA UDINI 🙂 🙂 🙂
Labda ataondolowewa ukatibu mkuu msaidizi.Kwani hii Katiba ya CCM ipo Vipi Mndeme si Katibu Mkuu msaidizi wa CCM sasa inakuaje anagombania nafasi ya u CC-ukiwa mtendaji si direct unakiwa mjumbe?
Wakatoliki kuna haja ya kupozwaBashungwa +ukatoliki wake. Nahisi kuna nafasi ya juu zaidi anaandaliwa.
Lazima mpunga wa nguzo za umeme utembee hapo 😂😂😂Huyu Mahenda ndo mwenye kiwanda cha Qwihaya .Lazima mpunga umetembea sana.Any way kanda ya ziwa wametisha.
Sana,alifaidi sana enzi ya Magufuli. Project za REA yeye.Lazima mpunga wa nguzo za umeme utembee hapo 😂😂😂
Bado anafaidi mpaka sasa. Ndio maana kapita 😂😂. Lazima awe na connection na wakubwa. Hapo sijajua mmliki wa kiwanda cha nguzo za zege za DERM yupo wapi? Isijekuwa nayeye kapata 😂😂Sana,alifaidi sana enzi ya Magufuli. Project za REA yeye.
Kama hauoni jina lake hapo ujue kakosa.Bado anafaidi mpaka sasa. Ndio maana kapita 😂😂. Lazima awe na connection na wakubwa. Hapo sijajua mmliki wa kiwanda cha nguzo za zege za DERM yupo wapi? Isijekuwa nayeye kapata 😂😂
😂😂😂
hao ni asilimia ngapi na wanaobaki ni asilimia ngapi ?Kwa hiyo Bashe,Msengi & February ni Wagalatia!.
Wagalatia ni 76% huku wale wengine ni 22%hao ni asilimia ngapi na wanaobaki ni asilimia ngapi ?
Labda ataondolowewa ukatibu mkuu msaidizi.
Ingekuwa kinyume chake ajenda kuu ingekuwa ni udini. Believe that. !Wagalatia ni 76% huku wale wengine ni 22%
Udini unaitesa sana Africa..na ndio maana hatuna hata maendeleo...udini, ukabila na unafiki....ni shida sana...Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428