Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Hii mada yako Ina udini na inachochea hisia za udini.

Moderator ondoa hii mada haina afya kwa taifa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Je ni Yule waja mwenye viwanda mbalimbali, waja mabati, waja general supply, na shule za waja, Mr wambura ndio huyohuyo aliye shinda NEC-ccm?

Ndio huyohuyo mwenye tenda za kuagiza chemicals za mahospitalini na migodini na viwandani, ana viwanda pia burundi base iko geita ni bilionea mkubwa tu
 
Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislam

Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani

Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani

Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
 
Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini

Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislam

Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani

Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani

Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Chanzo Cha Matatizo
 
Sikufuatilia nilikuwa natafuta ugali.wa.wanangu.Hapa ndo ninaona matokeo. So unaweza kuwa mbunge na hapo hapo mkuu wa mkoa ?

Ndio imerudishwa kama zamani mbona wala hakuna ataeachia nafasi yake yoyote sema hapo kilichofanyika kwenye NEC ni kutafuta matajiri wenye uwezo wa kufadhili chama na vile vyeo vya makamanda wa chama wilaya na mikoa vinarudishwa soon
 
where we dare speak openly

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Tayari umeshaanzisha udini halafu unataka usingizie wengine.
 
where we dare speak openly

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428

Chama kidumu
 
Wewe mwenyewe unazungumzia Udini hapo ulipo.

Hata hivyo, maamuzi yote yanafanyika na kamati Kuu. Of which most of them are muslims..

Kama njia hii ni ya kujidai kuzima kelele za hapo kabla basi mmebugi. Mmeliamsha jambo ambalo walau lilianza kupotea.

Hebu nikae kimya, nisije kupigwa ban ya maisha kama hapo kabla kwa mabishano ya kidini.
 
Achaneni na mambo ya Udini. Jiulizeni hapo mbona waliochaguliwa wengi ni wenye nazo?

Kama Chama na Serikali kitaongozwa na wenye nazo manake Masikini hatapata mtu wa kuwatetea.

Unakuta anayepaswa kuwasemea kuhusu gharama Kubwa za nguzo za umeme ndiyo mfanyabiashara wa nguzo hizo hizo 🙆😢
 
Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Hayo matokeo yanatakiwa yawe hivyo kuweka mizania sawa (ku-balance)

Mosi: Waliopitishwa na kupewa ushindi kwa lazima (narudia tena kwa lazima) katika chaguzi zilizoisha majuzi all most wote ni waislamu

Mbili: Katika uchaguzi wa leo kwa upande wa Zanzibar kasolo yule Joseph Abdala Meza wengine wote ni waislamu 'hata mkristo fake Moudline Castico hajapata'
 
Back
Top Bottom