Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kwahiyo kwa list hii huwezi kuwasikia wale wafia dini waliokuwa wakisema kuhusu uchaguzi wa uvccm kuwa Kuna udini...
Tanzania ni yetu sote...majina yasiwe sababu ya kuamsha mihemko yetu..
Wala jilishe upepo tu ni vile nchi haina dini lakini angalia majority ya waislamu kwa Zanzibar haifiki milioni mbili, hiyo iwe sample kwa mikoa yote uone kama idadi ipi ni wengi
Wala jilishe upepo tu ni vile nchi haina dini lakini angalia majority ya waislamu kwa Zanzibar haifiki milioni mbili, hiyo iwe sample kwa mikoa yote uone kama idadi ipi ni wengi
Kelele za udini tuachane nazo kabisa zitatugawa ni kawaida kila kiongozi kuweka watu anaoona wanamfaa kama magu alivojaza lakezone kwenye nafasi nyingi
Tanga, mtwara, Lindi, pwani, ( hapo majority ni muslimus) Dar wako karibu nusu kwa nusu mikoa mingine yote majority ni wakristo yaani uislamu utaukuta either wilaya moja tu mfano tabora ni mjini, kigoma ni mjini, lakini ukweli ni huo na njoo kwenye sensa uone hiyo mikoa ambayo majority wakristo utapata jibu rahisi tu.
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Duh! Kumbe macha ni tajiri. Kampuni zake zinaitwaje?
Wafukua mafaili akina bagamoyo na kikosi chako tunawategemea mtuletee mafaili yote na video za hao watu wote wa nec ambao sio maarufu ila wana HELA 🙏🙏🙏
Kelele za udini tuachane nazo kabisa zitatugawa ni kawaida kila kiongozi kuweka watu anaoona wanamfaa kama magu alivojaza lakezone kwenye nafasi nyingi
Tajiri wa kweli haridhiki. Si unakumbuka enzi zile Diallo ?Alivyokosa nafasi serikalini biashara zikayumba.Kuna raha yake kuwa tajiri na huku una vyeo vya kisiasa. NEC unakaa kikao na Rais ,hata ukiwa na jambo lako unaweza muambia ana kwa ana.
Walivyoteuliwa waislam wengi majuzi mijadala mikali ililetwa humu JF na huyu mdini sana mwenye chuki dhidi ya waislam bwana technically akasema ule ulikua ni udini
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
www.jamiiforums.com
Sasa leo yametoka haya majina hata hajalalamika hii inaonyesha dhahiri shahiri kwamba humu jf kuna watu wana chuki sana dhidi ya uislam
Wao kwa akili zao fupi fupi hivi wanadhani kuuchukia uislam na waislam itasaidia?Wajuwe watakufa wakiiacha hii dini ikikua kwa kasi duniani
Tuacheni udini na ukabila hauna faida yoyote humu duniani
Haya majina ndo haya mbona hawajafungua vinywa vyao?
Wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Naona lengo limetimia....haijawa hivi kwa bahati mbaya...na the fact kwamba mnajadili hili jambo, ma master planners wanafurahi sana...manake now Ngoma Draw...sasa sikilizia muziki huko mbeleni...mtafurahi na roho zenu za kuabudu.
Duh! Kumbe macha ni tajiri. Kampuni zake zinaitwaje?
Wafukua mafaili akina bagamoyo na kikosi chako tunawategemea mtuletee mafaili yote na video za hao watu wote wa nec ambao sio maarufu ila wana HELA [emoji120][emoji120][emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.