makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,970
- 1,480
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sukuma gang unajidanganya wasukuma wamo wa kutosha mzee! Mnapenda msione kabisa watu wa kanda ya ziwa lakini nchi sio yenu wanakanda ya ziwa ndo wengi!Pigo kwa sukuma group( gang)
Bureau zipo nyingi tuHivi bureau zilisharuhusiwa? Huyo kasesera bado ni mkuu wa wilaya? Si ndio yule anaetukana watu hadharani
Hivi mpaka lini ndo mtaamini kuwa kanda ya ziwa yote wajumbe ni wengi. Hata Tabora tunaiweka Ziwa .Mbona hata hii list imejaa kanda ya ziwa Wambura,Bashungwa,mabula,Gwajima,Makungu!
Kanda kuu ya nchi!
Tuanzishe kampeni hapa tuhesabiane tuone nani watapinga
Hapo nimeelewa, basi tutafute hela ili miaka 10 inayo tuweze kaa viti virefuTajiri wa kweli haridhiki. Si unakumbuka enzi zile Diallo ?Alivyokosa nafasi serikalini biashara zikayumba.Kuna raha yake kuwa tajiri na huku una vyeo vya kisiasa. NEC unakaa kikao na Rais ,hata ukiwa na jambo lako unaweza muambia ana kwa ana.
Hahaha...Nani alikudanganya kuwa bara Wakiristo ni wengi kuliko Waislamu?-
Humo kwenye hiyo list hakuna Fala mzee wote ni watu wenye miamala ya kutosha!
Hatupendi ugomvi.Kanisa na Wakristo walipiga vita sana kuhesabiwa kwa dini kwenye sensa, ni kwa sababu wakijua waislamu ni 80%wataadhirika
Atayepinga mwanga
Nimeona.Humo kwenye hiyo list hakuna Fala mzee wote ni watu wenye miamala ya kutosha!
Alikua utawala, Magu akampa ukuu wa wilaya Kahama.Hivi macha ni yupi?
Vunja bei kapata kura 15,anafikiri ustar wa.instagram ndo kwa wajumbe.Hapo nimeelewa, basi tutafute hela ili miaka 10 inayo tuweze kaa viti virefu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yap ni Kama tu Kenya ilivyo Mombasa,Lamu ,Malindi kwingine kote ni christians.
Tulia wewe hata huelewi hapa point sio watu bali ideology ya watu.Kama sukuma gang unajidanganya wasukuma wamo wa kutosha mzee! Mnapenda msione kabisa watu wa kanda ya ziwa lakini nchi sio yenu wanakanda ya ziwa ndo wengi!
Bado na tafakari mawaziri wetu kupitwa kura na Dkt Kasheku Musukuma. Hoi ni bahati mbaya au Kuna kitu kinaatengenezwaMkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kwenye Orodha wameandika Macha ni Anamringi MachaDuh! Kumbe macha ni tajiri. Kampuni zake zinaitwaje?
Wafukua mafaili akina bagamoyo na kikosi chako tunawategemea mtuletee mafaili yote na video za hao watu wote wa nec ambao sio maarufu ila wana HELA 🙏🙏🙏
Ni macha yupi? Uzuri macha wengi wanaHELA. Subiria wafukua mafaili waendelee na kazi yao wataleta majibu. Hakuna mchovu aliyeshinda wote ni watu wenye HELA
Uko sahihiKanisa na Wakristo walipiga vita sana kuhesabiwa kwa dini kwenye sensa, ni kwa sababu wakijua waislamu ni 80%wataadhirika
Atayepinga mwanga
Kanda ya ziwa utarukaruka ila utaelewa kuwa ndo kanda yenye nguvu! Si umeona Makamba kapitwa kura mpaka na akina Musukuma na Gwajiama! Ndoto za huyu Bwana mdogo zipo mashakani sana kadri miaka inavyoenda ndo atazidi kuangukia pua!Hivi mpaka lini ndo mtaamini kuwa kanda ya ziwa yote wajumbe ni wengi. Hata Tabora tunaiweka Ziwa .
Mzee unaongea uongo aliyechaguliwa ni Anamringi Macha